The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Innocent unamaanisha nini??

Kuna tofauti gani kati ya roho na akili..
Unamaanisha nini kusema mtumwa wa shetani kua mautini??

Hapa umenishawishi kiasi.. will do my research [emoji3577]
1. Roho huwa innocents iwapo iko kwenye mwili wa mtoto mchanga, kichaa au punguani

2. Roho ni I, Trueself. Is Spirit. Au ni uhai.

3. Akiri ni everything sorrounding I.

4. Roho iliipaswa kutumia mwili kutambua utakatifu wake. Instead kutokana na mapungufu na vionjo vya mwili (senses of touch, hear, taste, sex)

Roho inaambuzwa Ubinafsi ambao unapelekea kuwa na Uroho, Uchoyo, Umasikini, Uzinzi hivyo inatumia muda wa kuwa na mwili kuridhisha matakwa ya mwili na matanio yaletwayo na akiri, licha ya kula, kunywa na kuvuta hewa kama mahitaji yake rasmi pia ina kula na kunywa kwa kuvimbiwa, inajilimbikizia mali, tafuta cheo na umaarufu, kufanya familia n.k ambavyo sio mihimu kwa Roho hasa baada ya kifo.

Roho ndio kweli yetu, ilikiwepo, ipo na itakuwepo.

Mwili na akili ni Uwongo wa shetani. Mwazo wa mwili ni mimba, wakati akiri ni baada ya kuzaliwa na mwisho wa vyote ni kifo.

Binadamu akijua mahitaji ya kweli ya Roho na akayatimiza, anakuwa ametumikia hitaji la kweli la uwepo wake na hivyo inamuweka huru na mtimilifu. Kinyume cha hapo anatumikia nafsi yake ya uwongo mwili na akili in otherword ametumikia uwongo wa shetani.
 
Hakuzaliwa familia duni .Ukoo wa kifalme wa Daudi hakuweko maskini Wala

Yeye BWANA YESU alikuwa masikini hii n dhahiri labda kama unabishana na biblia
 
Wasabato kwenye ubora wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…