poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Kikao maalum juu ya hatma ya kesi dhidi ya rais wa Kenya Uhuru Kenya kinaendelea katika mahakama ya ICC mjini The Hague.Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta anahudhuria kikao hicho akiwa kama raia wa kawaida baada ya kuchukua uamuzi wa hiari wa kuyakabidhi madaraka kwa makamu wake William Ruto hapo jana.
Muda huu CitizenTV ya Kenya inaonesha moja kwa moja kesi ya Rais Kenyatta. Unaweza kuangalia kupitia King'amuzi cha Azam kujua nini kinachoendelea.
Thanks
Muda huu CitizenTV ya Kenya inaonesha moja kwa moja kesi ya Rais Kenyatta. Unaweza kuangalia kupitia King'amuzi cha Azam kujua nini kinachoendelea.
Thanks