Dah, ingawa sikupendezwa na uingiaji madarakani wa huyu bwana, ila huu ni uzalilishaji wa viongozi wa Kiafrika.Bush na blair hadi leo hawaulizwi na mtu WMD ziko wapi.
hawa mabwana wanachinja watu kila mara hakuna anayewashtaki wakiwa madarakani au nje ya madaraka. This ofocurse does not mean i am against the whole procedure to hold participants of the 2007 attrocities accountable, but if we decide to have an international community that is fair, then everyone should be equal, au ndio yale mambo ya mzungu mmoja ni sawasawa na 0.65Mzungu?