Enyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Unadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?Vijakazi wa Mabeberu mlikuwa mnaombea Watanzania wafe kwa corona
Mungu ameona nyie ni devils hajawasikiliza
Enyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Wanadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?
wewe unadhani kwa nini US & UK wamekimbiza raia wao?
ExactlyYaani hujajaribu kuokoa maisha, hujapambana vya kutosha unakimbilia herd immunity
Herd Immunity inapaswa iwe last resort kwenye mapambano, siyo option ya kwanza.
Kwanza ugonjwa wenye hauna uhakika kama hiyo herd immunity inaweza kupatikana maana siyo kila ugonjwa mwili hufanikiwa kutengeneza immunity
Watu wakifa wewe unafaidika nini? wewe sio mtu,? huwezi kufa? ukiweza jibu hii hoja au ukishndwa kuoneshe kuwa wewe ni mlamba lolo za mabeberuEnyi misukule wa MATAGA muwage hata na ka akili japo kidogo. Unadhani ujuha wa kutotangaza ndiyo unafanya watu wasife?
Wewe unadhani kwa nini US & UK wamekimbiza raia wao?
Nimekuelewa sana mchoraji na katika hao Kuna watakao letewa sumu ya kumuua mamba kwa private jet. Za kuambiwa Changanya na za kwako.The wananchi from those countries which have opted to "combat" COVID-19 using the so called "Herd Immunity" should have a quick glance at the picture below to enable them understand what their governments think of them (wananchi).
The picture portrays only one key message - let's make millions (or tens of millions) of wananchi be sacrificial lambs and we will make-do with whoever survives through the pandemic.
It takes an extremely heartless government to go for this horrible option. I know we know some of those countries, Brazil is one - who else is in?
View attachment 1462118
Herd Immunity"
Herd immunity is altruism well demonstrated in wildebeest as depicted in the attachment. They have to cross the river for pastures and safe breeding grounds. If not they will die in large numbers and few calves will survive.The wananchi from those countries which have opted to "combat" COVID-19 using the so called "Herd Immunity" should have a quick glance at the picture below to enable them understand what their governments think of them (wananchi).
The picture portrays only one key message - let's make millions (or tens of millions) of wananchi be sacrificial lambs and we will make-do with whoever survives through the pandemic.
It takes an extremely heartless government to go for this horrible option. I know we know some of those countries, Brazil is one - who else is in?
View attachment 1462118
Unawaza kidogo Sana mkuuYaani hujajaribu kuokoa maisha, hujapambana vya kutosha unakimbilia herd immunity