Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCU kama imeamua kutoa majina ya wanafunzi ambao hawajachaguliwa na waaplly mara ya pili basi kwawalio chaguliwa watoe eglibility watu wafaham ni wapi wamechaguliwa.
aliye pakuwa hayo majina aweke hapa basi