The home of GT! Hodi humu ndani

Pretty loU

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Ni kijana wenu ambae baada ya kuisoma, Kuifatilia na kuielewa JF hatimae naomba ruhusa yenu wakuu kunikaribisha na kua mmoja wenu.

NB: Jina langu limetokana na kumkubali na kumwelewa sana msanii wa kundi la zamani la Lost BoyZ kwahiyo mi ni ME.

Thanks in advance,
 
Karibu sana JF...

Bora umeweka sawa hapo kwa jina lako...
 
Karibu sana. Kuna watu hawapo vizuri upstairs usiwafuate, uwe makini.
 
Ndugu yetu Watu8 ahsante kwa kubaki kua mfalme wa huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…