The home of Rugby in the southern Hemisphere

The home of Rugby in the southern Hemisphere

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
kwa wale wasiojua kitu chochote kuhusu "Supper rugby" kuweni nami hapa nitajaribu kadiri ya uwezo wangu ku explain kuwajulisha machache ni ya juao .

South Africa, Australia na New Zealand .
Hizi nchi tatu ndo zilizo unda Super Rugby. Kila nchi ina timu zake.
kila mwaka hizi nchi tatu hukutana na kushindania kombe la super rugby.
na wakati hizi team zinashindana hapo ndio mahali selectors wa Rugby World Cup
huanza kuchagua ni nani atakaye chezea nchi yake baada ya mika minne kwenye RWC.

Team za South Africa.
1. Stormers . 2. Bulls . 3. Sharks . 4. Lions . 5. Cheetahs.

Hapo ndipo wanapochaguliwa wachezaji wa taifa ambao jina lao ni = Springboks

Team za Australia

1. Reds.2. Brumbies. 3. Waratahs . 4. Rebels .5. W.Force.

Na timu ya taifa yao = Wallabies

Team za New Zealand
1. Highlanders. 2. Chiefs.3. Hurricanes.4. Crusaders . 5. Blues.

Team ya taifa ya New Zealand= All Blacks.


Note.. "Super rugby" is only for Southern Hemisphere na Northern Hemisphere wana kitu kinaitwa "Six Nation"

anyway mlumbano wa Super Rugby 2012 umeshaanza..
kuwa nami na kuwa free kuuliza kitu chochote "Rugby"
... Karibuni .......​






[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[TD="width: 7%"]

[/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 4%"][/TD]
[TD="width: 3%"][/TD]
[TD="width: 9%"]

[/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[TD="width: 10%"][/TD]
[TD="width: 7%"][/TD]
[TD="width: 6%"]

[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
 
Kila team itacheza match 8 home na nyingine 8 away..

Watacheza round 18 kabla ya quarter final.
 
here we go.......

week hii ni round ya nne .. sasa kwa anaetaka matoke ya round ya kwanza mpaka ya tatu
usisite kuuliza. cheers...

16.03.12
Chief 29 beat Brumbies 22.
Stomers 27 beat Blues 17

17.03.12
Hurricanes 17 lost to Highlanders 19
Waratahs 20 lost to force 21.
Sharks 27 beats Reds 22

18.03.12
Rebels 26 lost to cheetahs 33


Notes.. Wanacheza Friday ,saturday & sunday ..
 
leo ni nani na nani.. kingine huwa wanaposema trial huwa wanamaanisha nini..
 
Kila team itacheza match 8 home na nyingine 8 away..

Watacheza round 18 kabla ya quarter final.

Mkufunzi naomba kuuliza swali mimi ni wale 'slow leaners'.Umeandika kila timu ina mechi 8 home and 8 away jumla mechi 16 hapo nimeelewa.Swali ni:Hizo round 18 kabla ya quarter final zinapatikanaje?
 
Back
Top Bottom