Kila siku kulia lia tu humu dah, tujumuikeni wote tupate kitu baridiiii..[emoji3] [emoji109]
View attachment 531311
He he he. Hiyo kitu ni konc kweli, unaona hiyo sura ya Orengo?Hehehehe!! Hiyo ni konk, ya Kisii hiyo. Nakumbuka wakati nilikua napiga hayo mavitu nilijaribu ya Kisii nikajikuta naimba kwa kilugha.
why the generalization here??? am talking about you as an individual not Kenyans.Just like Kenyans do n leave aside that big white elephant in the room. [emoji23] [emoji115]
Vipi brathe? its been long man but I can see you guys are really representing 254 confidently well with facts. 🙂He he he. Hiyo kitu ni konc kweli, unaona hiyo sura ya Orengo?
Mimi daktari aliniambia niachane na hizo vitu if I love my life. My liver cannot cope.
Niaje? Btw ckuizi huonekani humu kabisaaa.Vipi brathe? its been long man but I can see you guys are really representing 254 confidently well with facts. 🙂
niki poa pia nilihepa kiasi nikijua mtakabiliana na wabongo wasioifahamu Kenya vizuri. Looking forward to participate positively. thank youNiaje? Btw ckuizi huonekani humu kabisaaa.
Sisi tuko hapa kuset the records street dhidi ya propaganda za hawa wabogo, lakn tuko poa. Labda wewe.
They do. So just get your facts strait. If you don't agree you can go hang.Those schools... do not belong to Magufuli...
Karibu tena ndugu. You already know this, but I will still warn ya, postive engagements with these pipo in not easy. U will end up like this soo many timesniki poa pia nilihepa kiasi nikijua mtakabiliana na wabongo wasioifahamu Kenya vizuri. Looking forward to participate positively. thank you
Just cool down and tell us one developed nation with such kind of primary and secondary schools that allow underaged mothers to study.Those schools nor the monies used to fund the free education, maintain the schools and pay those teachers do not belong to Magufuli. They are Tanzanian tax payers money, some of whom are the parents, those poor parents whose children are going to be shut out of the free education system.
Getting pregnant while still in school, an underrage is admittedly bad. But the proposed punishment is far in excess of the that mistake. Every sensible person bears that opinion.
Kenyans have only voiced their opinion regarding that outrageous policy in Tanzania, the same way they always commentate on various issues around the world, the same way Tanzanians voice their opinions on global issues on the JF International News forum.
But does that mean that Kenyans are in anyway trying to influence the scheme of things in other countries, more so in Tanzania? Arent Tanzanians then meddling in the affairs of Kenya and other countries in their expressing their opinions regarding the occurances in those places?
Lest u are not aware, the whole civilized world condemned those stupid utterances by your president regarding school pregnancy. They echoed the same sentiments as Kenyans. That that law is really retrogressive.
You are not stating the truth that Kenyans do not criticize their govt. They are very outspoken in their demands for justice proper governance and transparency.
Why then is Uhuru' s position seemingly under threat, not certain if he will really win in the forthcoming elections? Evidence of discontentment among Kenyans with this current govt is not enjoying even 50% support of the voters.
Were it not for Kenyans, how would u have known about the alleged inflated Sgr cost? And btw, I see no comnection btwn the Kenyan Sgr and the Tanzania's controversial school pregnancy law.
Kwa hiyo unaunga mkono harakati za kuwaadhibu watoto walio teleza maishani?Just cool down and tell us one developed nation with such kind of primary and secondary schools that allow underaged mothers to study.
For your information. Magufuli is not setting up either a new policy or a new law regarding this issue. These legistlations have been arround for long even our vice president took her studies under the same legal structure. Why did she and others succeeded?
Tumechoka na wanaarakati wanaotutoa kwenye msitari na kutuondolea mila na desturi zetu ili tusijitambue na tusiendelee. Baada ya hili wataanza tena kutetea haki za MASHOGA. HATUTAKIIIIII.....
a)She has the option of deferring her studies for a yearSomeone hu can explain to me what are you guys arguing?
Suppose if your sister conceive while at sec school there at Kenya what are your approaches anyway? How do you handle the case like that...
Just cool down and tell us one developed nation with such kind of primary and secondary schools that allow underaged mothers to study.
For your information. Magufuli is not setting up either a new policy or a new law regarding this issue. These legistlations have been arround for long even our vice president took her studies under the same legal structure. Why did she and others succeeded?
Tumechoka na wanaarakati wanaotutoa kwenye msitari na kutuondolea mila na desturi zetu ili tusijitambue na tusiendelee. Baada ya hili wataanza tena kutetea haki za MASHOGA. HATUTAKIIIIII.....
Kwa hiyo unaunga mkono harakati za kuwaadhibu watoto walio teleza maishani?
Tuambie yafuatayo :
1. Kama umeshawahi teleza maishani?
2. Vipi swala hili la watoto wanapachikwa mimba wakiwa shuleni ni swala la ushoga.
3. Ukiteleza maishani, je, ni dhahiri kuwa utanyimwa haki za kibinaadam, ambapo elimu ni mojawapo?
4. Hivi wewe mtu mzima unaona hawa wawili walio tenda tendo la ndoa wote wa jinsia moja, sijjui maoni yako kuhusu kijana anaye mpachika mwenzake wa kike mimba? Umeona vizuri kumlaumu mtoto wa kike, sio?
5. Stori ya vp wenu na hii mada, wapi na wapi?
Nawasilisha.
Kujibu swali na swali, hehehe! Nimekuuliza msimamo wako, ukiona gumu basi naomba usirejeshe, tafta hobby. Kwa hiyo you believe in punishment as opposed to correction for mistakes and errors?Naomba unambie umuhimu wa adhabu kwa mtu aliyefanya kosa then nikusaidie tena kujibu maswali yako haya!
In short, that's just life, leo mimi kesho weye. Our southern neighbours need to be practical in their solutions and thinking. A girl getting paged at an early age is always a bad thing, but determining her life trajectory based on that and that alone is just plain wrong, and inexcusable! Those who endure these things as young women are actually quite wise in life as well.Hii si mambo na wanaharakati bwana.
This is about the life of these young human beings, their future: the girl, the boy and the baby.
Mkiwanyima hiyo elimu ya bure, ati waende kwa private schools ambazo ni chache sehemu zingine na ghali kwa hizo familia maskini, maisha yao ya usoni sasa itakuwaje? Huyu mtoto atalelewa kivipi, hasa ikiwa babake ako jela miaka 30? Haifai.
Mimi binafsi katika familia yetu kuna msichana ( actually ni mama mzima sasa) alipata mimba 1994 akiwa class 7. Lakini alipata nafasi ya pili katika masomo baada ya kujifungua, akamaliza masomo na kuhitimu. Amekuwa akipata kazi nzuri nzuri hivi sasa anatumikia shirika fulani lisilo la kiserikali.
Binti yake kwa sasa yuko chuo kikuu.
Je, angepewa adhabu hiyo, hivi sasa angekuwa wapi, yeye na huyo mtoto wake? Hebu tufikirieni jameni.
Hili ni suala la kibinadamu. Hamwezi mkasema ati waende kwenye private school ambayo hawawezi hata kugharamia na huyo kijana aende jela....hapo sasa ndiyo itakuwa ni kusuluhisha hili tatizo?
Kenya kwa sasa imeanza kutoa mafunzo ya mambo ya uzazi kwa wanafunzi toka darasa ya 4, na wazazi wanahimizwa kuwa very open with their children, kuwafunza haya mambo mapema.
In short, that's just life, leo mimi kesho weye. Our southern neighbours need to be practical in their solutions and thinking. A girl getting paged at an early age is always a bad thing, but determining her life trajectory based on that and that alone is just plain wrong, and inexcusable! Those who endure these things as young women are actually quite wise in life as well.
Kujibu swali na swali, hehehe! Nimekuuliza msimamo wako, ukiona gumu basi naomba usirejeshe, tafta hobby. Kwa hiyo you believe in punishment as opposed to correction for mistakes and errors?