Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Ivory Coast na Gambia yaja ndo sababu kila siku Jubilee inamsakama Magufuli. Yeye katulia tuliii. .Halafu inasemekana watu wanaojua zilipo server za IEBC ni wawili tu!
Mmoja ndo huyu kapotea!
Wakome kabisa kumhusisha Magu na mambo yao ya ajabu! 2007/2008 Magu hakuwepo na waliuana!Ya Ivory Coast na Gambia yaja ndo sababu kila siku Jubilee inamsakama Magufuli. Yeye katulia tuliii. .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatafuta sababu ya kakataa usuluhisho ya 2007 yakijirudia. Ila hawa jamaa wasipopigana sijui..Wakome kabisa kumhusisha Magu na mambo yao ya ajabu! 2007/2008 Magu hakuwepo na waliuana!
Wanakoelekea ni kubaya sana, Magu inabidi awaonye mapema ili waache huo uchafu wao!Wanatafuta sababu ya kakataa usuluhisho ya 2007 yakijirudia. Ila hawa jamaa wasipopigana sijui..
Sent using Jamii Forums mobile app
Noo.. akae kimya awaache hata wakipigana! Wamemtukana sana..waswahili husema waache wafu wazikane na neema huja kwa namna tofauti! Yeye achape kazi mambo ya Kenya achia wenyewe wachokoraneWanakoelekea ni kubaya sana, Magu inabidi awaonye mapema ili waache huo uchafu wao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hilo ndo ukweli wenyewe