The ICT manager of IEBC has gone missing.

ndo huyo washamuua na yawezekana alikataa kuchakachua matokeo
 
Jamaa kapatikana akiwa amekufa! Habari zinasema kutokana na majeraha aliyokutwa nayo inasemekana ameuliwa kwa kuteswa. Katika eneo alilookotwa umekutikana na mwili wa mwanamke asiyefahamika! Maofisa wengine waliobaki hai wameogopa sana na kwasasa wanaishi kwa wasiwasi mkubwa...!

Kenya hali si shwar!

Chanzo cha habari ni Radio One habari ya saa nne kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…