The illusion of the word 'SMART'

The illusion of the word 'SMART'

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Around the world, corporations have turned devices into a surveillance machine.

Smart meters
Smart cars
Smartphones
Smart watch
Smart TV ect.

The word ‘SMART' refers to self- monitoring, analysis, and reporting technology. All the smarts are designed to talk to each other to create a mass surveillance grid.

IMG_20221102_205526.jpg

A smart illusion of safety and security, but actually it's about tracking us into digital control and surveillance, also they can turn them off whenever they want.

It's all about control.
 
Data dignity...Daini malipo yenu kwa kuibiwa taarifa zenu na wakajimilikisha kiholela.
#Internet of Things.
Sio rahisi kudai, kwani ni sisi wenyewe tunawapa data zetu kwa hiari, bila kujua ni nini kitatokea.

Usipokuwa na Smart devices, unaitwa mshamba na unapitwa na wakati, kiufupi huu ni mtego mgumu kunasua
 
Wanasema ni samaki mfu ndio hupelekwa na mawimbi.
Kama walikaa wakaja na namna ya kuusoma ubongo wako kwa kuunganisha na simu wakakuwini ...... Huu Ni wizi usio- umiza.

Wanajua huwezi kudai kwa kuwa hujui haki zako.
 
Mifumo waliyoiweka ni kama magereza huru, mlango wa kutoka upo wazi lakini huwezi kutoka kwani maisha yako tayari yapo attached na technology
 
Mifumo waliyoiweka ni kama magereza huru, mlango wa kutoka upo wazi lakini huwezi kutoka kwani maisha yako tayari yapo attached na technology
Sijawa attached kufikia kuifanya Techie ni life wheelchair...Nop!
 
Vyema, means kwamba unaweza kuishi bila kutegemea smart device yoyote?
Naweza ...mwaka huu nilipokuwa mafunzo kwa miezi sits sikutumia device yoyote na sikuona kupungukiwa.... Callous Ur Mind.
 
Back
Top Bottom