Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
It's difficult to leave, this is peaceful slaveryGo off the grid. Uamuzi ni wako
kumbe ndio mipango yaoself- monitoring, analysis, and reporting technology
Hilo ndilo lengo laokumbe ndio mipango yao
Sio rahisi kudai, kwani ni sisi wenyewe tunawapa data zetu kwa hiari, bila kujua ni nini kitatokea.Data dignity...Daini malipo yenu kwa kuibiwa taarifa zenu na wakajimilikisha kiholela.
#Internet of Things.
Sawa Mkuu, kikubwa ujumbe UmeuelewaEnglish kwangu ni ngumu nimeona Bora ni comment tu kama hivi!
Wanasema ni samaki mfu ndio hupelekwa na mawimbi.Sio rahisi kudai, kwani ni sisi wenyewe tunawapa data zetu kwa hiari, bila kujua ni nini kitatokea.
Usipokuwa na Smart devices, unaitwa mshamba na unapitwa na wakati, kiufupi huu ni mtego mgumu kunasua
Mifumo waliyoiweka ni kama magereza huru, mlango wa kutoka upo wazi lakini huwezi kutoka kwani maisha yako tayari yapo attached na technologyWanasema ni samaki mfu ndio hupelekwa na mawimbi.
Kama walikaa wakaja na namna ya kuusoma ubongo wako kwa kuunganisha na simu wakakuwini ...... Huu Ni wizi usio- umiza.
Wanajua huwezi kudai kwa kuwa hujui haki zako.
Sijawa attached kufikia kuifanya Techie ni life wheelchair...Nop!Mifumo waliyoiweka ni kama magereza huru, mlango wa kutoka upo wazi lakini huwezi kutoka kwani maisha yako tayari yapo attached na technology
Vyema, means kwamba unaweza kuishi bila kutegemea smart device yoyote?Sijawa attached kufikia kuifanya Techie ni life wheelchair...Nop!
Naweza ...mwaka huu nilipokuwa mafunzo kwa miezi sits sikutumia device yoyote na sikuona kupungukiwa.... Callous Ur Mind.Vyema, means kwamba unaweza kuishi bila kutegemea smart device yoyote?
Vyema sana mkuu, sisi wengine bila technology hakuna kitu tunaweza kufanyaNaweza ...mwaka huu nilipokuwa mafunzo kwa miezi sits sikutumia device yoyote na sikuona kupungukiwa.... Callous Ur Mind.