Dah amezaliwa hata kabla ya Tanzania kuzaliwa 🙌Stephen Masato Wasira, alizaliwa mwaka 1945 Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara, ni mmoja wa wanasiasa wakongwe hapa nchini .
The Immortal on politics!.
Sijawahi kuona sinema yenye uongo kama ile. Sijui hata kwanini watu waliipenda ina uongo kiwanga cha levek ya juuNilimsikiliza mtoto wa baba wa Taifa ambaye ni mkuu wa mkoa wa Rukwa nadhani kuhusu huyu mzee.
Yupo na ataendelea kuwepo.
Binafsi niliwahi kuangalia sinema flani inaitwa SiSU, ile sinema kuna jamaa mle alikuwa mchimbaji wa madini ambaye inaonekana alipikwa hasa na wataalam ukizingatia kwamba issue za madini inasemekana lazima upikwe.
Hivyo yule jamaa hakuwa mtu wa kawaida ila alikuwa asiyeweza kufa kirahisi.
Leo nimemkumbuka huyu mzee Steven Wassira is't!.
View attachment 3205385
Kweli kuna uongo ila kama ni mfuatiliaji wa hizi sinema na maisha ya kila siku ungeona ule uongo ni wa kweli kutokana na maisha ya kila siku.Sijawahi kuona sinema yenye uongo kama ile. Sijui hata kwanini watu waliipenda ina uongo kiwanga cha levek ya juu