Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huwezi kupambana na mtandao aisee...mtandao, tokea niujue, haujawahi kushindwa!Umejitahidi kufikiria Chief....
Huwezi kupambana na mtandao aisee...mtandao, tokea niujue, haujawahi kushindwa!
She shouldn’t pay them that much attention, at least not publicly.Mkuu heshima kwako,
Internet isn't that bad..
Mazuri acjukue ayafanyie kazi, uzush na uzandiki awaachie..
Kusema aachane na internet ni kujidanganya..
Kuwasikiliza wanasiasa pia wengi wana uzandkki na uzushi na maslahi...
She should w'man up enough to know the difference
Huyo Jiwe mwenyewe alishindwa,huwezi shindana na technolojiaAsije tu na yeye akataka malaika washuke wafungie mtandao turudi square one ya jiwe
Yaani sasa hivi wale jamaa wa Jamhuri ya Muungano wa Twitter na Ufipa wanajua kuwa wanamkera huyo mama.Samia anakuwa na tabia kama za Magufuli anashindana na technolojia,anatakiwa kuwa kama Kikwete ya mitandao ayaache kama yalivyo aendelee na kazi zake.
Yee. Kwa mfano aliyemzungumzia leo nadhani ni yule wa Facebook anayejiita ''Veronica France'' anayesema Magufuli kauawa na Kikwete. Rais anajishushia heshima kujaribu kulumbana na mtu kama yule. Kwanza kwa mtu mwenye weledi wa kusoma between the lines unajua kabisa huyo ''Veronica'' ni kilaza mmoja tu asiye na upeo wowote. Rumours za viongozi wanafariki kuwa waliuawa au kufa katikati mazingira fulani zipo siku nyingi tu. Hata Sokoine, Nyerere, Kolimba nk kuna nadharia nyingi za bla bla kuhusu vifo vyao lakini viongozi wa enzi hizo walikuwa wanazipuuza.She shouldn’t pay them that much attention, at least not publicly.
By talking about them publicly and on several occasions, she gives the internet warriors, thugs, and activists, the satisfaction of knowing that they are in her head.
Not a good look.
She will never win going against what is said on the internet.
Binafsi mimi pia nimeshangaa sanaa mama kuzungumzia mambo ya mitandaoni tena uzushi na umbea wa mitandaoni. Inaonekana ni mambo yanayomkwaza na hawezi kuyamezea yakapita.
Kwa mtindo huu basi mama atakwazika sana na mambo ya mitandao maana uzushi hauishi, ni kila siku watu waibua uzushi.
Mambo mengine anyamaze tu yapite. Kiongozi mkubwa wa nchi kuanza kujadili mambo ya mitandaoni tena ya uzushi ni ajabu sana.