Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #101
Fair question...tatizo hawa ndugu zetu UONGO wao wanalazimisha.
..yaani ukiwashtukia unakuwa ADUI yao na wanaweza kukudhuru.
..kitu kingine Mama Samia alisema Magufuli alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa miaka karibu 10.
..kwanini wananchi hawakuelezwa ukweli huo, wanakuja kuambiwa wakati kiongozi amekufa?
Fair question.
Lakini pia hapo nadhani kuna suala la privacy pia. At what point does it start to be too intrusive?
Je, wananchi wanapaswa waelezwe kila tatizo la kiafya alonalo Rais wao? Kwa hiyo na sasa tuambiwe kila tatizo la kiafya alilonalo Mama Samia?
Sioni haja hiyo.
Ila, kuufahamisha umma kama Rais amelazwa ni suala ambalo raia wanastahili kulijua.
I agree...Jpm alikuwa haendi safari ndefu nje ya nchi kwasababu ya tatizo la moyo alilokuwa nalo.
..kwasababu hiyo naamini wananchi walitakiwa waambiwe ukweli na sio kudanganywa-danganywa.
..Tayari kulishakuwa na utamaduni wa kuficha-ficha afya ya Magufuli, na hili siyo jambo lililoibuka kipindi cha mwisho cha maisha yake.
Ni hivi, mtu akitaka kugombea Urais au kuteuliwa kuwa mgombea lazima Afya yake ihakikiwe na jopo la madaktari kuwa iko madhubuti. Kama Magufuli alikuwa na tatizo la Moyo unaotumia umeme tangia 2010 kwanini CCM walimkubalia agombee Urahisi 2015 ilhali ana matatizo ya moyo?Fair question.
Lakini pia hapo nadhani kuna suala la privacy pia. At what point does it start to be too intrusive?
Je, wananchi wanapaswa waelezwe kila tatizo la kiafya alonalo Rais wao? Kwa hiyo na sasa tuambiwe kila tatizo la kiafya alilonalo Mama Samia?
Sioni haja hiyo.
Ila, kuufahamisha umma kama Rais amelazwa ni suala ambalo raia wanastahili kulijua.
What??Ni hivi, mtu akitaka kugombea Urais au kuteuliwa kuwa mgombea lazima Afya yake ihakikiwe na jopo la madaktari kuwa iko madhubuti. Kama Magufuli alikuwa na tatizo la Moyo unaotumia umeme tangia 2010 kwanini CCM walimkubalia agombee Urahisi 2015 ilhali ana matatizo ya moyo?
Hatukatai mtu kuugua akiwa Rais but let that ill-health happen to the Predident while already in office and not otherwise!!!
Hivi mtu ana Pressure, ana HIV au TB mnataka awe Rais ili iweje?
Uzembe kama huo haya ndo matokeo yake.
Mkuu nakuunga mkono asilimia 20,000....eti Raisi anaenda kutibiwa hospital za uchochoroni kisa hawataki watu wajue kuwa anaumwa....ujinga mtupu. Kwea pipa nenda kwa wataalamu wa dunia huko...ukipona heri ukifa basi ila tunasema rais kafia kwenye mikono ya wababe wa dunia..siyo Mzena...Yaani nimekerekq Sana japo nilikuwa simpendi kabisa Jiwe ila nimejijuta tu nimekerekq balaa...yaani Rais wa nchi anakufa Kama Kuku???
Serikali ipi Mkuu? Ya hawa maccm? Hawajapata kujifunza wala hawatajifunza kwa maana sifa kwao ndio kipaumbele...Well said. Hili ni somo kubwa sana kwa serikali.
Hiyo nukuu maana yake nini??Serikali ipi Mkuu? Ya hawa maccm? Hawajapata kujifunza wala hawatajifunza kwa maana sifa kwao ndio kipaumbele...
Alisema Mwalimu "mubisabisa oburwaire ekiriro kiramubuura" mwisho wa kunukuu
Ila Magu naye alikuwa mbishi bwana...inawezekana hata doc wake alikuwa anamshauri kuhusu afya yake ila anakuwa mbishi tu. Na ile kuwa mm ndiye rais inakuwa basi Tena...jamaa hakutaka kabisa kutuata taratibu alikuwa anajiamualia mambo yake mwenyeweNajaribu kufikiri mkasa wa Tundu Lissu mwaka 2017..
Kwamba, kwa hali ya kiafya aliyokuwa nayo, jinsi alivyokuwa amechakazwa na risasi zile halafu awe ktk hospitali hizi za Tanzania kama hiyo ya Mzena, nadhani tusingekuwa na Tundu Lissu leo....
Rais Magufuli kafa kizembe sana. Kwa hadhi ya Rais na ugonjwa unaotajwa kuwa alikuwa nao na kisha kuondoa uhai wake, angeishi miaka mingi kama wangekuwa wanajali...!!
Mwenyewe alifasiri ati kwa kizanaki inamaanisha "mfichaficha maradhi kilio humuumbua!"Hiyo nukuu maana yake nini??
Okay asante kwa kunitafsiria....Mwenyewe alifasiri ati kwa kizanaki inamaanisha "mfichaficha maradhi kilio humuumbua!"
Sisi watu weusi tuna matatizo sanaBadala ya kufanya mambo ya maana, wanahangaika na mambo ya kipuuzi puuzi tu.
Ni kweli. Jamaa alikuwa kaidi sana.Ila Magu naye alikuwa mbishi bwana...inawezekana hata doc wake alikuwa anamshauri kuhusu afya yake ila anakuwa mbishi tu. Na ile kuwa mm ndiye rais inakuwa basi Tena...jamaa hakutaka kabisa kutuata taratibu alikuwa anajiamualia mambo yake mwenyewe