The Islamic World has got only 500 universities and India 8407, followed by the US with 5758

The Islamic World has got only 500 universities and India 8407, followed by the US with 5758

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
The Islamic World (57 countries) has got only 500 universities, India has got , 8407, followed by the US with 5758.

The figures were published by Hafez Mohamed, CEO of the Al Baraka Bank in South-Africa. " Their is not a single university in the Islamic World that is ranked in the top 500 of the best universities in the world''
Mohammed Hafez, the literacy is 90% in the Christian World and only 40% in the Muslim World .
All big civilizations have invested in science and knowledge and that is why they have written history.
The US has got 5.000 scientists on 1 million people, the Muslim world has 1 .5 billion people, but only 230 scientists on 1 million people. This explains why Muslim countries produce and export very little high tech products.
0,9% of the total export of Pakistan , 0,2%, Kuwait/ Saudi-Arabia ,0,3% Morocco /Algeria , Singapore 68% are high tech products

Source:

L'expression

Supporting documents
http://www.online-universities.us/top500universities.htm
http://www.arwu.org/ARWU2010.jsp

NB
No Offense to any Muslim man, that was a scientific analysis by Hafez Mohamed, CEO of the Al Baraka Bank in South-Africa, lets discuss with no emotions

Geza ulole, umeleta habari nzuri sana yenye lengo la kutueleza ukweli wa upogo wa elimu baina ya Uislam na rest of the world lakini waislam hasa wa Tz hawakubaliani na posts kama hizi kwani hudhani kuwa mwanzisha mada ana lenga kuwatukana: tazama kule Tanzania kuna chuo kikuu kimoja cha kiislam ambacho nacho kimenyanganywa kwa umma na kukabidhiwa wao. Pamoja na uwingi wao wote na pamoja na kuwa na utitiri wa taasis za kiislam bado hawajaweza kutumia platform hizo to bring any significant changes in higher education.
 
nilisoma kua TZ ina wasomi wengi kuliko egypt. the reaso ni kwamba 50% ya population haipelekwi shule (wanawake). Katika fmilia ambazo uislam umekolea sawa sawa unakuta masomo ya watoto wa kike sio priority.

Kwa kweli mwanamke alie olewa na akazaa watoto wazuri, anaependwa na mume waka na familia ya ukweni anathamani kubwa sana kuliko mwanamke msomi. MOJA, NCHI ZA KIISLAM ZINA DEVELOP HALF OF ITS INTELECTUAL POTENTIAL.

Sisemi kwa ubaya, nadhani tatizo ni sababu maadili ya dini ya kiislam ni magumu sana kuambatanisha na maisha ya leo. Ukikuta mwislam msomi mara nyingi haishi vile dini inaamrisha kuishi, na yule alie endeleza zaidi masomo ya dini anapata shida sana kueleweka nje ya sphere ya waislam... PILI, DINI YA KIISLAM HAI-ADAPT KATIKA MAZINGIRA YA KISASA

Naomba msamaha kwa waislam watakao kwazika na mchango wangu ila tuko huru kutoa mitazamo mbali mbali
 
The Islamic World (57 countries) has got only 500 universities, India has got , 8407, followed by the US with 5758.

The figures were published by Hafez Mohamed, CEO of the Al Baraka Bank in South-Africa. " Their is not a single university in the Islamic World that is ranked in the top 500 of the best universities in the world''
Mohammed Hafez, the literacy is 90% in the Christian World and only 40% in the Muslim World .
All big civilizations have invested in science and knowledge and that is why they have written history.
The US has got 5.000 scientists on 1 million people, the Muslim world has 1 .5 billion people, but only 230 scientists on 1 million people. This explains why Muslim countries produce and export very little high tech products.
0,9% of the total export of Pakistan , 0,2%, Kuwait/ Saudi-Arabia ,0,3% Morocco /Algeria , Singapore 68% are high tech products

Source:

L'expression

Supporting documents
Top 500 World Universities
ARWU 2010

NB
No Offense to any Muslim man, that was a scientific analysis by Hafez Mohamed, CEO of the Al Baraka Bank in South-Africa, lets discuss with no emotions

Woow, this is very very serious information. How did this happen to islam countries/world? I mean who causes this?
 
waislam wataendaje shule huku nchi za kiislam kuna vita kila upande, za ndani kwa ndani na zinachochewa na nchi za magharibi.Jiulize kwa nini TURKEY mpaka leo kwa nini inakataliwa kuingia jumuia ya ulaya!
 
Turkey kukataliwa kuingia EU inazuia nini wao kujenga vyuo vingi? Turkey inakataliwa kwa vile kuna criteria bado hawajatimiza mfano mpaka leo ndani ya Turkey kuna sheria kandamizi kama ukandamizaji wa wanawake na wanaambiwa wakitaka kuingia EU basi wanapaswa kukubali wanawake ni sawa na wanaume na wapewe uhuru pia inabidi kukubali tamaduni za Kimagharibi kitu ambacho wanapinga
 
i think this is education pombe kama konyagi halali gongo haramu, sigara halali ila gozo la mpapai daaah lile baya haramuuuuu. Changudoa anaelipa kodi daahhh huyo anafaaaa asielipa kodi mfukuzeniii

muangalie na sheria za magharibi so zote nzuri
 
POST nyingine zimekaa kishalishali kama huna la kusema bora ukanywe machicha kwa mfuga mbwa! acha chochezi,je wakristu wana vyuo vikuu vingapi?
 
Nadhani hii itasaidia kuonyesha kuwa tatizo ni kitu kingine na wala siyo "mfumo kristo".
 
Back
Top Bottom