The Kennedy Curse

The Kennedy Curse

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
The Kennedy Curse:

Huu ni msemo unaorejelea Vifo tata vya wanafamilia wa Kennedy.

Wanafamilia wengi wa Ukoo wa Kennedy wamekufa vifo vyenye utata mkubwa na vya kuhuzunisha. Inaonekana kama kuna watu kadhaa nyuma ya mpango huu wa siri ambao hawakuipenda kabisa familia ya Kennedy ishike madaraka ya aina yoyote nchini Marekani.

Rais John F Kennedy aliuwawa kwa kupigwa risasi akiwa madarakani.

Robert F Kennedy aliuwawa akiwa kwenye kampeni za kuomba kupitishwa na chama chake ili agombee Urais.

Mtoto wa JFK alipotea na ndege na kuja kupatikana akiwa amefariki.

Vifo ni vingi, kwanini baadhi ya familia hukumbwa na mikosi ya namna hii?
 
Back
Top Bottom