The Kenyan boy who grew up to be a woman.

No offence bro,
Ila ni ushetani tu huu..
God made everyone a masterpiece!
Kwanini 1930s hizi disorders hazikuwa nyingi hivi?

nadhani ni haya madawa mbalimbali ya kuzuia mimba ndio yanasababisha matatizo tofautitofauti(exclude hilo bse i don know details). Nafahamu baadhi ya wadada waliokuwa wanatumia madawa mengi mchanganyiko-changanyiko wamezaa watoto wenye matatizo tofautitofauti.
 
CC Nyani Ngabu......
 
Last edited by a moderator:
kuna watu wanakufananisha na adam mchomvu wa clouds fm bwahahahaha

Watu wasionijua watanifananishaje na mtu nisiyemjua na asiyenijua? Mbona mnahangaika sana na kunijua...?
 
Watu wasionijua watanifananishaje na mtu nisiyemjua na asiyenijua? Mbona mnahangaika sana na kunijua...?
wanakufananisha tabia......una character zote kama za adam mchomvu.....

BTW mate wako jason collins mzima?
 
wanakufananisha tabia......una character zote kama za adam mchomvu.....

BTW mate wako jason collins mzima?

Dogo unajitahidi sana kutafuta urafiki na mimi....kwa nini?

Kutwa kucha unamuwaza Ngabu tu....geeez louise!

Acha kunishobokea hivyo wewe. Ni udhaifu.
 
Dogo unajitahidi sana kutafuta urafiki na mimi....kwa nini?

Kutwa kucha unamuwaza Ngabu tu....geeez louise!

Acha kunishobokea hivyo wewe. Ni udhaifu.
Tulia wewe nakula maisha london sasa hivi.....mie nimekuambia unafananishwa na adam mchomvu......na news za town mchomvu anachezewa kamchezo kabaya.....kosa langu ni lipi?
 
Tulia wewe nakula maisha london sasa hivi.....mie nimekuambia unafananishwa na adam mchomvu......na news za town mchomvu anachezewa kamchezo kabaya.....kosa langu ni lipi?

London ndo umepaona pa maana hadi kutangaza unaishi huko?

Wewe mwongo...London hujawahi kufika na hutakaa ufike. Na hata ikitokea umeenda bado huko ni kwa wachovu wachovu wa sampuri yako.

Kwa ma ballers na ma shot callers wa ukweli huwezi kufika wewe. Kwa sasa endelea kula vumbi na kunuka kikwapa, sawa dogo?
 
londo tunaishi ma intelectual mbwiga wewe....wakosa karatasi wotw mnapiga box marekani......

hapa huwezi survive na box lako........hakuna milegezo na kudaka vibibi vizee vya kizungu....
kikwapa labda wakina madame x na wenzie wanagombania dala dala za mwananyamala......kijiwe changu napiga story na washikaji wa LSE.....wewe endeleee kuupinda mgongo......
 
naomba mwongozo hapa, labda mimi sielewi vizuri....
hivi baraza la mitihani huwa wanabadilisha jina la mtu akibadilisha baada ya kuandika mtihani na matokeo kutoka?
naonaga watu wanaofanya hivyo huwa wanatembea na affidavit kuprove kuwa huyu ndo huyu.....
namfahamu mtu tulisoma naye mpaka tumemalisha f4 anaitwa Jesca Andrew, alipofika f5 akabadili dini anaitwa Saida Juma.... mpaka leo cheti chake cha f4 kimeandikwa Jesca Andrew na anatembea na affidavit kusema kuwa Jesca Andrew ni Saida Juma
 
Kumuita dume ni makosa
huyu ana tatizo
ni ugonjwa wa kisaikolojia..
ni tatizo kazaliwa nalo.sio vizuri kumkejeli

Tatizo hujasoma na kuelewa ni kitu gani kinaendelea. Hadi leo bado hajafanyiwa operesheni ya kuondoa uume sasa kama siyo dume ni nini? Na hata akiweza gharama zake bado anadaiwa tumbo la uzazi ili awe mwanamke hilo lipo nje ya uwezso wa mwanadamu kwa sababu ya:-

"The gifts and calling of God are irrevocable." Romans 1:29

hakuna kusingizia hisia lolote kujitoa kwenye mipango ya Muumba. Majority of transsexuals tend to be suicidal, do you know why? ..............."It is a fearful thing to fall in the hands of the living GOD." Hebrews 10:31.

Simkejeli mtu ila naelezea ukweli wake tu.
 

Na Knec ndicho wanajitetea nacho yeye anataka abadilishiwe na ndiyo maana wametinga mahakamani. Ni tukio ambalo halina pa kuiga. Mahitaji mapya kabisa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…