Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
hivi hawa waliojibadilisha,wanableed kila mwezi kama sisi?:suspicious:
huu ni ugonjwa tena ambao amezaliwa nao.
nafikiri baraza la mitihani wamamdhalilisha sana
walitakiwa wawe wamefikiri juu ya hali kama hii kabla

😱 idont bilieve my eyes

sad news, God's plan
Lugha ya watu hii jamani
Kumuita dume ni makosa
huyu ana tatizo
ni ugonjwa wa kisaikolojia..
ni tatizo kazaliwa nalo.sio vizuri kumkejeli