The KGB plays Chess

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170

Attachments

Chess ni mchezo wa kijasusi au kivita hata wale wacheza chess wakubwa walikuwa wanatumiwa na kgb kwenye mipango yao na kwenye mchezo huo warusi wako vizuri sana
 
Asante mkuu ntajitahidi kukisoma. Ngoja nitie neno. Inasemekana Chess ilianzia huko india, Ulikuwa ni mchezo wa Strategies za kivita. Ndiyo maana ukiliwa king game over. Maana zamani mfalme akifa vita mmeshindwa.
 
Hii elimu sikuwa nayo aseh!.. thanks mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…