That's a blessed soul.
kuna mwingine mkora alipewa 59 million ila hakuwa na tender au nia ya ku supply chochote kwa shirika la NYS....Mungu naomba afungwe miaka 106 gerezani mpaka askie...wametuzoea sana
Naomba mnieleweshe kwa mara ya mwisho kama mkiweza hoyo nys ni nini, na hiyo corruption imetokea ktk mazingira gani na lini kwa kifupi ili niweze kuelewa kinachoendelea!
Naomba yatendeke makuu hadi hela za serikali ziwe zinaogopwa, kwamba zikikufikia unazirudisha hima na kuosha mikono, nothing short of that.
Sasa hivi naskia watu 64 watakamatwa.....
Naomba mnieleweshe kwa mara ya mwisho kama mkiweza hoyo nys ni nini, na hiyo corruption imetokea ktk mazingira gani na lini kwa kifupi ili niweze kuelewa kinachoendelea!