The largest economy in east africa ? Kenya and Ethiopia in epic economic rivaly

GDP ya kariakoo peke ake kwa wiki ni kubwa kuliko ya nairobi kwa mwaka [emoji23][emoji23][emoji23] sema ndo hvyo wafanyabiashara pale hawapo recorded officialy ni wakwepaji tu kama tulivo wabongo.

Serikali yetu haiko makini
kariakoo ndo bussiness corridor ya ukweli
kuna wafanyabiashara kutoka nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,burundi,Commoros,Malaawi,DRC,Zimbabwe,Zambia n.k
 
Manyang'au hawawezi kukuelewa
Biashara kibao zinafanyika without record.

Ukiangalia tu contribution ya wachimbaji wa madini ktk masoko yaliyobuniwa mwaka jana tu, kuna pesa nyingi sana
Kenya vile vile Kuna biashara nyingi bila records...wacheni visingizio vya kushindwa kwenu and btw mada kwa Sasa Ni Ethiopia na Kenya. Tanzania ipo ligi ya kina Uganda Burundi.
 
Ila awamu hii wanaeza kuifanyia kazi hili swala ngoja tuone.
Serikali yetu haiko makini
kariakoo ndo bussiness corridor ya ukweli
kuna wafanyabiashara kutoka nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,burundi,Commoros,Malaawi,DRC,Zimbabwe,Zambia n.k
 
Mkenya mwenye akili timamu anafahamu hao omba omba ni nyie ndo mnaenda kuwaiba alafu mnaenda kuwatumia kuwaombea pesa barabarani [emoji23][emoji23][emoji23]
Je wewe una akili timamu?
Hehehe alafu limempata la kumpata kumbe.
Ina maana vitengo vyenu vya usalama Ni hafifu kiasi Cha watu kutoroshwa kwa njia hiyo?? 🤣🤣🤣 Only in LDC
 
Tuwaulize ninyi ambao mnashindwa kuwaondoa wahamiaji haramu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana vitengo vyenu vya usalama Ni hafifu kiasi Cha watu kutoroshwa kwa njia hiyo?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Only in LDC
 
That is a common occurrence in many a countries including Kenya.

At least you are now deciphering such basic reasons explaining why the Afrikan GDP is not real. A lot of components are missed out in computing it.
 
Ina maana vitengo vyenu vya usalama Ni hafifu kiasi Cha watu kutoroshwa kwa njia hiyo?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Only in LDC
uliishawahi kuona mchi inazuia watu kuondoka!!

inchi inazuia wahamiaji.
 
Ethiopia ni ukubwa wa pua tu sasa per capital gani ya $885 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bure kabisa
Ethiopia with all this great rivalry with Kenya ni watu wa heshima sana sio kama majangili wa Tanzania wenye machungu ,fitina ,kufurahia mauaji ya alshabaab ,kufurahia njaa na mengine .

Ethiopians still have their decency and humanity intact unlike dehumanized Tanzanians.
 
Tangu lini Nyani akaona kundule [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnakuwa wachokozi mkijibiwa mnaanza kusema tuna wachukia [emoji23][emoji23][emoji23]

Manyang'au hawawezi kukuelewa
Biashara kibao zinafanyika without record.

Ukiangalia tu contribution ya wachimbaji wa madini ktk masoko yaliyobuniwa mwaka jana tu, kuna pesa nyingi sana
Biashara nyingi Kenya pia haziko on the govt records, they are informal, so peleka reasoning yako Dodoma
 
Tuwaulize ninyi ambao mnashindwa kuwaondoa wahamiaji haramu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata USA imeshindwa hapo alafu usisahau inakuwa vigumu kwa Kenya juu ya violating Human rights dhidi ya masikini aliyetoroka shida za Nchi yake k.m Mtanzania ametoroka kula kinyesi kukimbilia Kenya kutafuta he'll ambayo Ni nadra Sana huko Bongo.
 
Tangu lini Nyani akaona kundule [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnakuwa wachokozi mkijibiwa mnaanza kusema tuna wachukia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mada ilikuwa Kenya vs Ethiopia ila kwa wivu wenu mkakimbia hapa kujipendekeza... nyinyi ligi yenu ndogo;
 
Manyang'au hawawezi kukuelewa
Biashara kibao zinafanyika without record.

Ukiangalia tu contribution ya wachimbaji wa madini ktk masoko yaliyobuniwa mwaka jana tu, kuna pesa nyingi sana
Guys this applies to all 3rd world countries sio Tanzania peke yake!!
 
Wewe toka tukufukuze tz umejaa uchungu maana ulikuwa utaki kutoka tz hadi tukatumia nguvu ya ziada kukutoa
 
Hiyo kweli, they are very respectful.
 
Nyinyi pigeni domo tu mwakani siyo mbali mambo yatakuwa moto tz tena wakenya wataumia sana mioyoni na ukizingatia utakuwa mwaka wa uchaguzi Kenya sijui kama amtachinjana Kwa sababu ya maendeleo ya tz
Hadi uchaguzi wa Kenya ufike KQ itakua isha kufa Kwa sababu ya Air tanzania
Kenya vile vile Kuna biashara nyingi bila records...wacheni visingizio vya kushindwa kwenu and btw mada kwa Sasa Ni Ethiopia na Kenya. Tanzania ipo ligi ya kina Uganda Burundi.
 
Kweli kabisa ndugu yangu, Kenya Hakuna ujenzi wowote unaoendelea.
 
Hata USA imeshindwa hapo alafu usisahau inakuwa vigumu kwa Kenya juu ya violating Human rights dhidi ya masikini aliyetoroka shida za Nchi yake k.m Mtanzania ametoroka kula kinyesi kukimbilia Kenya kutafuta he'll ambayo Ni nadra Sana huko Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…