Vifo vya kujitakia hivyo. Apumzike kwa amani!!!
Wazungu wanapenda kujaribu kufanya mambo ya hatari hatari tu. Kuna dogo mmoja anafanyaga stunts za kufanya diving kwenye waterfalls na sehemu zenye kina kirefu! Watu wana-comment aache lakini wapi!
Kuna yule mwingine project allien, ameamua kujikata pua, masikio, mdomo na baadhi ya vidole ili afanane na zombie! Vitu vya ajabu kabisa.