The Law School of Tanzania: Maoni, Ushauri, Dukuduku

Kwanini mtu anasoma mwaka mmoja anakuja kuapishwa baada ya miaka 2 wakati kunauwezekano wa kumaliza law school na kuapishwa hapohapo?

Hebu fafanua kidogo mkuu, mtu anaapishwa baada ya miaka 2??
 
Ninachokijua ni kuwa unless mtu ana supplementary, ingawaje matokeo huwa yanachelewa kiasi lakini sidhani kama kuna mtu anayefaulu first sitting anaapishwa baada ya miaka miwili, au labda aamue mwenyewe hivyo.
 
Embu tujuzane ni ipi fate ya mwanafunzi aliyefeli law school?! Anaweza kurudia? !f so kwa utaratibu gani?
 
Embu tujuzane ni ipi fate ya mwanafunzi aliyefeli law school?! Anaweza kurudia? !f so kwa utaratibu gani?

Nafahamu kuwa mwanafunzi aliyefeli anaruhusiwa kurudia masomo kwa kuapply upya kuomba nafasi ya masomo
 
naomba kuuliza mtu mwenye degree ya Law asipopitia Law School je kuna madhara gani
 
Sheria hata usome miaka 100 haikufanyi uwe vizuri upstairs na uweze mumsaidia mteja wako..
Ni wewe mwenywe tu ..uwakili ni.kipaji bana
 
unadhani wewe ni wakili mzuri?
 
Aah sawa sawa skip that..
Nikuulize

What make(s) a good lawyer?
A good lawyer is the one who is able to minimize the loss/penalty and at the same time maximize the award. A good lawyer shapes his client's case at the same time helps the court to interpret statutes. He makes or leaves footsteps for other practitioners in every litigation he is involved.
 
Umeelewa swali kweli mkuu?

I ddn't ask "WHO is a good lawyer?"


I simply asked "WHAT make(s) a person a GOOD lawyer??"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…