kagolo muta
Member
- Aug 26, 2023
- 5
- 4
Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nivyema uende mahakamani kwanza kufungua kesi ya madai.Wanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria
Asante sana bossNivyema uende mahakamani kwanza kufungua kesi ya madai.
Ila endapo mdai ameruhusu wewe kupiga mnafa bila kumlazimisha, basi unaweza kuendelea na mnada huo, Japo mnada una taratibu zake kisheria
hapo itategemea ikiwa hio Mali ilitumika kama security na hio security ilisajiliwa kuwa kama dhama. Mdai ana automatic right ya kuuza hio Mali. Kinyume na hapo lazima huyo mdai aende mahakamani ili apate amri ya mahakamaWanasheria,swala la mtu akishindwa kulipa deni la taasisi fulani na Taasisi hiyo kuandika barua ya mnada kunadisha mali za mhusika na hiyo barua haijaandikwa na mahakama hilo swala limekaaje kisheria