Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 58
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje
3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani
Naombeni kueleweshwa
nlipita hapo zamani kidogo masomo yalikuwa kumina tatu yakapungua mpaka kumi na moja ambayo utafanya kila somo mitihani mitatu kasoro non core, ada inalipwa yote kabla ya mafunzo,darasani miezi minne ,field imegawanyika mwezi mmoja mahakamani/state attorney na kwenye firms.naipenda sana shule ya law school. Ingia website kuna kila kitu na kila cohort ina mabadiliko pamoja na waalim
hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?
Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Mr sizitaki mbichi izi!!Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?
Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?
Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
Umechaguliwa au upo cohort gani?Tanganyika law school
Tupeane tips
mnafanya pepa watu 250 wanafaulu 20 shikamoo LST
Kwanza usimiss pindi hata moja mbili fanya Sana discussion tatu soma Sana nne utaenda kuapishwa na CJTanganyika law school
Tupeane tips
Kijana wangu upo hukuUmechaguliwa au upo cohort gani?
Nipo ila sijakusomaKijana wangu upo huku
ndio walivoamua ivo watu wafelishweKufelisha watu wapuuzi
Tanganyika law school ndiyo nini mkuu?Tanganyika law school
Tupeane tips
Hahaa Tanganyika Law school duu!Tanganyika law school
Tupeane tips