The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Wadau naomba kuuliza nina kijana nataka asome Certificate in Law je qualification zake ni zipi na vyuo gani vinatoa hiyo cerficate (Arusha au Dar es Salaam)
 
Wadau naomba kuuliza nina kijana nataka asome Certificate in Law je qualification zake ni zipi na vyuo gani vinatoa hiyo cerficate (Arusha au Dar es Salaam)

CERTIFICATE IN LAW

Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
 
CERTIFICATE IN LAW

Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
Asante Hamza36
 
ANAELEWA BACHELOR OF HEALTH SYSTEMS MANAGEMENT(MZUMBE UNIVERSITY) MSAADA NIMESOMA (HGL) NAEZA APPLY MSAADA WAKUU.
 
Utaratibu ukoje ukitaka kusomea uwakili wa sheria kwa Zanzibar kisha baadae ukaja kufanya kazi kama wakili hapa Tanzania bara.
 
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...

Msada naomba mnipe mwongozo nn nfanye ili niwe nachangia asilimia 5 kama watumishi wenzangu kwenye mifuko mingne na mkurugenzi achangie asilimia 15...
 
Kuna hizi hoja tatu nimeshindwa kuzielewa wakuu naona kama hazijakaa vizuri, wajuzi washeria naomba tafsiri ya hizi sentesi binafsi nimeshindwa kuzielewa

1.That the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter filled by the respondent who had no locus standi to sue

2.That,the trial tribunal erred in law and in fact by deciding against the appellants favour while he had strong evidence

3.That,the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter as it did while it was res judicata

Naomba msaada wa tafsiri kisheria juu ya hizo sentesi wakuu
 
Msaada please Anayefahamu


Limitations on the powers of courts in dealing different cases


Please Anayefahamu
 
Wakati umefika sasa kwa Uongozi wa Law School kuanzisha Utaratibu kwa Wanafunzi wa Law School kufanya Mtihani wa kuingia Law School badala ya utaratibu uliopo wa kuwapokea wote walioomba kwani wasio na sifa na uwezo ni wengi kutokana na Vyuo walikotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…