The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Leta mchuzi utafasiliwe kama unahitaji Ku reply petition
 
Habari zenu wana jamii? Nawaombeni msaada kidogo wa kisheri plz, mfano mm ni fundi na kuna mteja alinitelekezea gari miaka minne iliyopita . ikawa alipotokea nilimpa bili ya matengenezo pamoja ma garama za ulinzi kwa kipindi chote ambacho akuwepo, matokeo yake kanigeuka ya kuwa kuna spea kazikuta zimeibiwa kwenye gari lake na kuniweka lockup. Na kwa muda huu kesi hipo mahakanani . na wakati huo Niko ndani alifanikiwa kulichukua gari yake na kesi inanguruma kwasasa japo bado cjapewa muda wa kujitetea maana mlalamikaji ndio anatakiwa kutoa maelezo yake, hii imekaaje kisheria wana jamii naomba msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nlkua nauliza kuhusu ili swala
.
.
Draft a simple contract for transfer of land between two person

@military_Genius
 
Kwanza makubaliano yenu yalikuaje yaan mlikubaliana hilo gari likae kwa kipindi kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Law school Inakuwa oparated kwa kutumia sheria... Yake so uanzia kutoa opinion yako hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria munazingua sana... Haya mambo huwezi yaona majukwa mengine
 
Kuna makosa yoyote Ku download VPN kwenye simu na kuitumia Kwa mambo ya internet
 
Ndugu zangu nimesoma degree yangu yakwanza ya ualimu, bachalor of education in science with ICT
Nahitaj nisome law, naomba kujua naweza enda masters ya law ama natakiwa kuanza post gradute dip ya law kwanza
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Ndugu zangu nimesoma degree yangu yakwanza ya ualimu, bachalor of education in science with ICT
Nahitaj nisome law, naomba kujua naweza enda masters ya law ama natakiwa kuanza post gradute dip ya law kwanza
NATANGULIZA SHUKRANI
Kama unataka kuwa advocate lazima ukasome LLB.
 
Moja ,baraza la kesi lililoendesha shauri lilikosea kisheria na kwenye hoja za kesi kwa kuwa mlalamikaji hakuwa muathirika wa kilichokuwa mbele ya baraza.Pili,baraza la kesi lilikosea kuamua dhidi ya mkata rufani kwani mlalamikaji alikuwa na ushahidi unaojitosheleza.Tatu,kwamba baraza lilikosea kwa kuwa kulikuwa kuna hukumu tayari juu ya shauri husika katika baraza lenye mamlaka Kama baraza husika hivyo haikutakiwa kusikiliza shauri husika maana kisheria lilitakiwa lisikilizwe na chombo cha rufani.
 
Kama anataka msaada afike ofisini.... hatukwenda shule ili tujibu watu kwenye whatsapp.
 
CERTIFICATE IN LAW

Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
Vyuo gani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…