victorserv
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 195
- 56
Matarajio ya wa Tanzania ni kuwa na wanasheria wengi kujaza nafasi zilizopo wazi, serikali kupitia LSRP walikujana wazo zuri la kuanzisha lst.
Lakini kwa hayo yote mtazamo wangu hasa baada ya kuona kuna baadhi ya wanafunzi wanaotoka vyuo flani hapa Tanzania wana mtandao mkali sana wa "kupiga chabo"na mara waingiapo katika ajira aibu inakuwa kwa lst.
Wana jamvi, hili mnalionaje kama wasomi?
Nani amfunge paka kengele?