The law school of Tanzania na mwonekano wa matunda yake

victorserv

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
195
Reaction score
56
Matarajio ya wa Tanzania ni kuwa na wanasheria wengi kujaza nafasi zilizopo wazi, serikali kupitia LSRP walikujana wazo zuri la kuanzisha lst.

Lakini kwa hayo yote mtazamo wangu hasa baada ya kuona kuna baadhi ya wanafunzi wanaotoka vyuo flani hapa Tanzania wana mtandao mkali sana wa "kupiga chabo"na mara waingiapo katika ajira aibu inakuwa kwa lst.

Wana jamvi, hili mnalionaje kama wasomi?

Nani amfunge paka kengele?
 
minaona ni bola ingekuwa practical zaid kuliko kukaa darasan
 
Nameless .
sijasoma hayo mambo yao ila mimi nina ndugu yangu anataraji kujiunga hapo mwakani
 
Last edited by a moderator:
We jamaa wewe!!! Uliandika maudhui ya ajabu leo umebadili ukadhani kuna uafadhali!!!!!!
 

vyuo gani tumain au saut na mzumbe funguka bas
 
Hii mada peleka jukwaa la elimu ndio utakutana na wenzanko wa kujadili nao issues ambazo ni non sense hapa naona kama umepotea vile
 
Sema Tanzania nchi yenye udongo wenye zambi ooh! wanalisaka sana taji la ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…