The Lewinsky: Akasirika kwa kukumbushwa mchepuko

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Monica Lewinsky amekasirika kwa kukumbushwa mchepuko wake aitwaye Bill. Bill ni mume wa mgombea urais wa US aliyeshindwa kwa kura za 'turufu'. Mshindwa huyo wa urais anaitwa Hillary Rodham Clinton. Bill mwenyewe alikuwa Rais wa Marekani (US) kabla uchepukaji wake na 'The Lewinsky' haujawekwa hadharani. Shuhudia tukio la kukasirika kwa The Lewinsky kwenye clip hapa chini.
The Lewinsky Akasirika...!
 
Presenter amefanya makusudi ili kumdhalilisha kinyume na makubaliano..Safi sana Monica Lewinsky!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…