Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana huyu jamaa sasa apumzike sio lazima awe Rais wa Kenya la sivyo atasababisha rabsha kama za 2007
Mkuu Ukwaju:
Heshima kwako hapa hakuna Rabsha kwa njia ya mahkama hii ni kwa mujibu ya katiba ya nchi, Raila komaa Tu mpaka kieleweke.
![]()
Mimi sijui tatizo la huyu Mjaluo, tukiwaambia ni katika wale Wanafiki wanaotaka kwa ulazima URAIS mnatuchukia
Naomba muheshimu zile kura 800,000 ambazo ni tofautyi kati ya UHURU na RAILA kwani hata kura moja kaanguka
Msithubutu kurudia Wakenya wana msimamo na wanajua ni nani anayeleta fujo zaidi na cha kushangaza hata Obama keshaanza kuingilia mambo ya Ushindi wa UHURU
::
Weakness ya Odinga ni Uchu wa madaraka hawa ndio Nyerere alitaka waogopwe kama ukoma.
=
Ben Saanane,we ngoja wanaomuona Nyerere mungu wakusikie.Baada ya yeye mwenyewe kukaa madarakani kwa miaka 25
Baada ya yeye mwenyewe kukaa madarakani kwa miaka 25
Bwana Mkubwa, hapo unapotosha ! Usimpakazie Raila kagombea mara 2 tu - 2007 & 2013. Mwaka 2002 Raila alimuunga mkono Kibaki kwenye Rainbow Alliance, wakamshinda Uhuru Kenyatta (KANU) kwa kura nyingi tu!
Uhuru Kenyatta ndiyo safari hii kagombea mara ya 4 na kupata.
Halafu kuna ubaya gani ktk demokrasia ya kweli kugombea ukijisijia kufanya hivyo? Abdoulaye Wade wa Senegal aligombea mara 8 kuanzia 1974 na hadi alipochaguliwa mwaka 2000 na akawa rais kipenzi wa Senegalese.