Baada ya yeye mwenyewe kukaa madarakani kwa miaka 25
Ben Saanane
Uko sahihi ktk hilo..ila Tufike mahali tukubali kubadilika kulingana na Matakwa ya Nyakati,,Nyakati zilizopo za kidemokrasia hazitaki ulazimishe ukubalike upendavyo ni tofauti na enzi za waasisi wa Mataifa mengi ya Afrika ambapo Rais angeamua lini aache madaraka.
::
Mf.Raila Odinga alitaka 2002,,akakosa
2007 akakosa,,2013 amekosa?
Je,kuna nini hapo? Ni kweli ana ushawishi mkubwa ktk jamii Lakini usipochaguliwa wewe,,basi Tume haikutenda haki?
::
Kwenye mdahalo alisema asiyekubali kushindwa si mshindani Leo anatenda tofauti na usemi wake,,yeye kama mwanademokrasia mzuri,,tumwiteje kama si KING'ANG'ANIZI?
Kibaki ni Kiongozi aliyefanya kazi na Raila,,sasa naanza kuamini Kibaki alikuwa sahihi kujiapisha haraka 2007 anamjua vema Raila,,ana ajenda gani inayomlazimisha asipotangazwa yeye Tume si huru?
Kenya isiangamizwe na tamaa ya mtu mmoja
=