Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Huyo mzee mzima unayemzungumzia ni nani? Umeniacha kwenye mataa!!!!!
Jioni ya leo yawezekana the biggest showdown since the resignations of the former Premier Edward Lowassa is to take place in Dodoma. Very reliable sources vimeiambia KLHN kuwa baada ya Bunge kurudi baada ya mapumziko ya mchana (kuanzia saa kumi na moja) Bunge litatoa kauli yake kuhusu matokeo ya uchunguzi wa mambo ya kishirikina na uhalifu yaliyodaiwa kutokea Bungeni hapo karibu mwezi mmoja uliopita.
Naibu Spika anatarajiwa kutoa kauli ya kufunga mjadala huo na kukubali matokeo ya Polisi. Hata hivyo Bunge linaweza kuwageuka Polisi na kutaka kuanzisha uchunguzi wake yenyewe wakiwa na wasiwasi kuwa the evidence was tampered with. Kama Bunge halitafanya hivyo na kukubali maelezo ya Polisi na Mkemia Mkuu the looming showdown would be set. Against who?
The Agenda 21, the entity that was created soon after the government collapse following the Richmond Scandal earlier this year. Kwa wale wanaokumbuka the exclusive report ya KLHN juu ya formation ya hili kundi watakumbuka kuwa imeundwa na mtandao wa watu wenye maslahi mengi wakiongozwa na wale waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati Teule na ndani yake wakiwemo baadhi ya viongozi ambao walijikuta wakitupwa nje ya serikali katika uundwaji wa Baraza Jipya la Mawaziri.
Agenda 21 walitaka kutoa taarifa yao mapema leo lakini inaonekana wameamua kusubiri kusikia Bunge litasema nini ili wajue nini cha kufanya. Kinachoendelea wapendwa watazamani ni kama mchezo wa chess ambapo kuna kila dalili kuwa Spika Sitta yuko karibu sana kuwekwa Checkmate na Agenda 21 na hivyo kulazimisha kuondolewa kwake katika kiti hicho cha Uspika.
The new alignment of the political heavyweights kutoka CCM ndani ya Bunge ni dalili wazi ambayo inatuonesha wachambuzi wa mambo ya kisiasa kuwa when all is said and done, watu wataitwa kufanya uamuzi, uamuzi ambao siyo tu unaweza kusababisha tuingie kwenye uchaguzi mdogo au hata mkubwa bali ambao kwa hakika utaifungua demokrasia ya vyama vingi nchini kuliko wakati mwingine wowote ule.
Meanwhile.... we are waiting to see nani atavunja jungu! Wengine yetu macho na masikio..... kuna vinzi vingine viwili vimeongezwa Dodoma to give you the exclusive scoop of what is transpiring.... stay tuned!
Halisi lakini swali la kuzingatia ni kuwa... hivi vitu vilionekana Jumanne, taarifa imetokea Alhamisi ndani ya siku hizo mbili Bunge limetumika na kufanyiwa usafi.. sasa Polisi wanapokuja ile Ijumaa kufanya uchunguzi na kuchukua vumbi vumbi.. walikuwa wanachukua vumbi vumbi la lini?
Nataka pia nitowe kauli moja kwa Polisi na viongozi wengine kama mnaufuatilia mjadala huu..Hapa ni JF.
Na si kwenye magenge yenu hayo mnayopiga soga kila siku!
Hapa ni issue zinakatwa kwa mwendo wa mbele na kuna inedependent minds humu!
Kwa hiyo mtoke kwenye TOPE LA UJAMAA!
Viongozi wetu ni wale wale toka enzi za mwalimu!
Wao wanatetea chama tu..Wote ni MAKADA!
Tatizo chama sasa mali ya mtu ama watu binafsi na pia chama hicho kinamiliki mali za umma kwa kutumia kigezo cha kushika HATAMU(UTAMU KWA NJIA ZA UNYONYAJI)
Hivyo basi ninawaomba muwe makini mnapokuja na kauli kama hizi.
Kwanza mwanzo ilikuwa ni Unga unga..Then sasa ni vumbi vumbi.
Sasa kwanza kabisa kuna TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA VUMBI NA UNGA.
PILI...Kama ni Vumbi vumbi...Kwanini liliingizwa wakati wa kutafuta kiti cha kukaa na wakati ni WAZI kabisa kuwa kiti cha SPIKA CHENGE HAWEZI KUKIKALIA? (Once again..MOTIVE YA VUMBI VUMBI HILO)
TATU...Lets assume kuwa kauli ya mwanzo kuwa ule ni unga..Je ni unga wa vitumbua ama wa SEMBE?
NA KAMA NI WA SEMBE AMA HATA VITUMBUA NA CHAPATI...NANI ALIUTOA KABATINI MWA CHENGE NA KUUPELEKA KWENYE SITI ZA WABUNGE HADI SPIKA MWENYEWE? (Once again..Tunataka MOTIVE YA UNGA KUWEKWA KWENYE SITI)
Tunataka MAELEZO YA KINA YA KUWATOSHELEZA WATU WENYE AKILI TIMAMU.
Ahsante.
Jmushi.. inabidi uelewe, hakukuwa na tukio lolote lile lililosababisha maneno ya unga unga. So, hakukuwa na mtu akitafuta kiti, hakukuwa na mbunge kuingia na kuruka ruka viti, there was nothing, nyeti! Maswali yako yanassume kuna kitu kilitokea. Polisi wanasema hakuna ushahidi wowote, hata walipowauliza watu waliotakiwa kuangalia hakuna aliyeona kitu chochote kile.
Basically, that was just a "legend" ...
Ila we mtu kwa kweli hujatulia........! watu wako serious unaleta mambo ya sembe
Sasa MANTIKI YAKO YA SHOWDOWN NI YA NINI?
It doesn't make NO sense kama unataka tukubali ripoti ya polisi na huku ukidai SHOWDOWN.
Pli kauli kuwa hawa watu walikuwa wakitafuta viti zilitolewa na nani?
Kauli kuwa ni unga unga? Vipi kuhusu kauli zako za msisitizo za vumbio vumbi?
Vumbi na unga wapi na wapi?
Wewe JONGOROMERO Tulia...Usipapatikewatu wanapoulizwa maswali.
We umefuatilia hii issue toka mwanzo ama unakurupuka tu!
Ama na wewe una yako?
Kama huna majibu ama hutaki yabiwe tafuta hoja na si kuanza kusema wenzako ni vichaa na ama hawajatulia.