Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #41
Eti kwani wewe jmushi uliwahi ama na au kuugua maradhi ya kichwa? Nami nimeuliza swali tuu.
Mushi ana ugumu wa kuelewa maandishi kweli duh! siyo kila kitu kinachoandikwa ndivyo kinamaanishwa hivyo. Kuna vitu vinaitwa irony, sarcasm n.k jifunze kidogo utaelewa mtu anaweza akasema kitu kumbe anachoseme ni zaidi unachosoma. Duh!
Jamani mwee msisumbuke na Jmushi kwa sababu ana uelewaji wake pekee kama ule wa 2+3=23...
Sababu zake?...
Ubishi wa kwamba haiwezekani kabisa kuwa 5, kwa sababu hakuna namba yoyote ktk 5 inayofanana na 2 wala 3..Kwa hiyo kila unachoandika hakikisha kuna uhusiano kimaandishi...
Mkuu Mushi utanisamehe kwa hilo lakini ndio conclusion niliyofikia..
Kumbe unaelewa hivyo?... sasa inakuwaje katika maandishi yako kila siku unajumlisha na kuzidisha kwa majibu sawa!..Pia kumbuka kuwa licha ya kwamba mbili mara mbili ni nne na mbili jumlisha mbili ni nne haina maana kuwa jumlisha na zidisha zina maana sawa.
Humu kuna watu wanahitaji huduma ya maombezi kutoka kwa mama Lwakatare na Kakobe kwani ........kila sentensi moja kutoka kwake inakuja na vitu vingine mia
Eti kwani wewe jmushi uliwahi ama na au kuugua maradhi ya kichwa? Nami nimeuliza swali tuu.
Bunge limefunga rasmi mjadala husika kwa mujibu wa kanuni za bunge hii ni njia ya kumfanya Chenge asiseme?
Kwani kanuni sasa zitakuwa zinambana , pia wamelaumu vyombo vya habari kuwa vilipotosha ukweli juu ya jambo hilo.
Kazi ndio kwanza imeanza kama Mkjj alivyoweza kudokeza kuwa hawa wengine nao wanajipanga kuitisha press conference.
Jmushi1,
Kumbe unaelewa hivyo?... sasa inakuwaje katika maandishi yako kila siku unajumlisha na kuzidisha kwa majibu sawa!..
Mkuu kama unavyosema, hapa JF ni kukata issue kwa mbele, tunapotoka hatua fulani tunajenga hoja mpya zinazoendeleza mjadala lakini mwenzetu kila siku unataka kurudi nyuma kama vile FBI sisi wengine uwezo huo hatuna.
Ukimfumania mkeo mkuu jishughulishe na kesi ya fumanizi usitake kujua jamaa alikuwa akifanya nini? mkeo alikuwa vipi (position) na kadhalika...mkuu utazidi kuchanganyikiwa wewe sio mfumaniwa...
Mambo kwa mbele mkuu...
Ndio maana nimeamua kubadili mkakati... adui yako akiwa hatua moja mbele hakikicha unachupa hatua mbili zaidi yake. Mkakati wa kutumia magazeti kujenga hoja kwa wananchi unakabiliwa na hili tatizo na njia pekee naamini ni kwenda nje ya mfumo wa kawaida wa magazeti.
Ndio maana nimeamua kubadili mkakati... adui yako akiwa hatua moja mbele hakikicha unachupa hatua mbili zaidi yake. Mkakati wa kutumia magazeti kujenga hoja kwa wananchi unakabiliwa na hili tatizo na njia pekee naamini ni kwenda nje ya mfumo wa kawaida wa magazeti.
Internet surely haiwafikii waTZ wengi ingawa ipo fast kwenye reporting. TV inaweza ikawa vigumu kutokana na gharama na mahali ulipo. Hapa inatuachia nafasi ya chombo kimoja tu unachoweza kutumia ili jumbe zako zikafikia wengi na kwa haraka, i.e. Radio. Is that the direction you are heading to?? Congra if that is the case.
I like your deductions.. but thinking "inatuachia nafasi ya chombo kimoja tu"... you might be wrong.. right track, wrong conclusion.
Hata mimi nimetafakari hili jambo sijaona effect yake, lakini mpaka sasa sijajua njia mbadala. Vyombo vyetu vya habari, na hasa magazeti, yameshajifikisha mahala havichukuliwa serious na wananchi, kwa hiyo unaweza ukakuta wakati mwingine unampigia mbuzi kengele! Kuna haja ya kuwafuata hukohuko; hukohuko ni wapi ndio swali la kujibiwa hilo sasa!!