DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
Kikao kimeridhika na taarifa ya kipolisi .
wajumbe wameagiza kuwa mapendekezo yaliyotolewa yafanyiwe kazi,
wanampongeza spika kwa hatua za haraka.
kikao kimempongeza kwa tabia yake ya uwazi na hatua ya kulitaarifu taifa mapema.
Kikao kimempongeza kwa kuwataka vyombo vya usalama kufanya kazi mapema .
Kikao tajwa ni cha kamati ya uongozi ya bunge.
Halisi lakini swali la kuzingatia ni kuwa... hivi vitu vilionekana Jumanne, taarifa imetokea Alhamisi ndani ya siku hizo mbili Bunge limetumika na kufanyiwa usafi.. sasa Polisi wanapokuja ile Ijumaa kufanya uchunguzi na kuchukua vumbi vumbi.. walikuwa wanachukua vumbi vumbi la lini?
Maandishi ya SHOWDOWN YA DODOMA KUHUSIANA NA UNGA ULIOGEUKA NA KUWA VUMBI LISILOKUWA NA MADHARA!
Vumbi ambalo lilisemekana lina MOTIVE NA SASA HALINA MOTIVE TENA KWANI LILISHASAFISHWA SIKU YA IJUMAA BADALA YA JUMA NNE!
Na huku watu wakikanusha kauli zilizotolewa na SPIKA WA BUNGE...PAMOJA NA MAMLAKA NYINGINEZO!
Kusoma ama kusema ni vitu vinavyotegemeana...Hivyo basi...Nilishasoma before kuwa huo ulikuwa unga unga na halafu sasa ni vumbi vumbi...Pia nilishasoma yale yote ambayo sasa unasema hayakusemwa.
Seconded. Tumeanza kupoteza wanachama makini nafikiri kwa sababu kama hizi. Simuoni Game Theory. Simuoni Mwafrika wa Kike. Simuoni Augustine Moshi, na wengine wengi. Tujirekebishe.
Halisi badala yake tumepata maisha mabovu kwa kila mtanzania kwa kasi,ari na nguvu mpya. eeeeeeeehhhhhhhMwaka huu ipo kazi...tena kazi kubwa ikizingatiwa miaka mitatu inakatika tukiwa tunasubiri "maisha bora kwa kila Mtanzania" kwa kasi, ari na nguvu mpya
Pamoja na kwamba mara nyingi huwa napingana na Jmushi lakini kwenye hili nakubalina naye . Hoja ya unga siyo ya kijinga kama watu wanavyoilabel , mbunge kukutwa ndani ya bunge akifanya vitu vya ajabu baada ya bunge kuisha sio jambo dogo kama watu mnavyotaka kusema !
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kabla ya kukurupuka na kukubali kila kitu kilichosemwa na polisi . Jee tunaweza kuona hiyo form inayoonyesha Chain of Custody ? Jee ni Laboratory gani waliyofanya hiyo analysis ? Which kind of analysis was done ? Nadhani tunatakiwa tujiulize haya maswali kabla ya kurukia bandwagon ya polisi !
Kwa sababu hapa naona assumption watu wengi waliochukua ni kuwa hii kesi ilikuwa fabricated na Bunge ili kushift public attention . Lakini ni lazima tuwaulize kuhusu chain of custody ....
Je ulitowa USHAURI KUWA CHIFUPA AKAMOMBEWE KWA KAKOBE AMA LWEKATARE KAMA UNAVYOTAKA WAFANYE KWANGU?
AMA AT LEAST KWANINI HUKUTAKA ZITTO AKAOMBEWE NA MKA MPELEKA MUHIMBILI?
Naomba majibu na tuache UNAFIKI!
mwenzetu kila siku unataka kurudi nyuma kama vile FBI sisi wengine uwezo huo hatuna.
Ukimfumania mkeo mkuu jishughulishe na kesi ya fumanizi usitake kujua jamaa alikuwa akifanya nini? mkeo alikuwa vipi (position) na kadhalika...mkuu utazidi kuchanganyikiwa wewe sio mfumaniwa...
Mambo kwa mbele mkuu...
Jamani haya mambo ya kuingiza Chifupa kwa masuala yasiyomhusu ni kumkosea Yeye ingawa hatunaye hapa duniani. Siamini kama tunamtendea haki Marehemu Chifupa, yaani hausiki kabisa hapa. Jmushi, sometime jaribu kuwa na utu na ustaarabu. Siamni ungependezewa kama ungekuwa aidha mzazi au ndugu wa Chifupa halafu mnaanza kuingiza personals zenu hapa mkiingiza utambulisho wa marehemu Chifupa. SIO USTAARABU, TUWE NA UTU JAMANI.