The Love Calculator

But I like Mr 96 better. .
Au nigeuze tu la Mr 69 nione kama 96??!Lolz
Kama you thought of him first na akatokea kua na 96% na hiyo 96% ikakufanya utabasam then maybe it is worth giving a try. lol
 
Chukua hiyo Mtu ya pesa mingi hiyo . . .

Mimi kila ninayejaribu hapa JF napata chini ya 30%.

Najiweka pembeni, naogopa msongamano, bora nitulie, nipate wangu la mie.

Na LogOff (Washawasha)

Hehehehe nimekupigia ramli nimepata 72%. . . FUNNY!!
 
Hee!Nimetata 0.05 na mmoja humu!Ngoja nisake!
 

Huyo MS kumbe ni She bodyline🙂))

Eniwe, Mr. Superman huyo Dr. Love kwangu ni gundu..ananiwangia naona! chini ya 20%
 
Duuu,hawawangu kweli tunachezeana tuu,yaani mi naona namba za viatu tuu,ila wa baba na mama yangu mambo swadaktaaa!!!
 
Mtakuja kujikalkuleti na midume mienzenu!
 
Jamani mbona mi na watu ninao wafurahia inatokea chini ya 30%??? loooooool!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…