HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,197
Mwenyewe nimeboreka join hii nikawa naperuzi michuzi baada ya kuchoka my daily job (ku monitor what Magus govt has been up to) mara BOOOOM!
Naona video yake....Gawwwwwgeym. Najua kaolewa lakini she will always remain the love of my life tena she looks even much better than before hajaolewa na yule mlokole
Sasa nina irregular heartbeats kwa kutazama video yake. Naogopa hata kukutana naye maana nikikutana naye na janja yangu yooooote itaisha na sijui kama nitajiweza.
Kwanza she's black coffee no sugar no cream. Hakuna cha mikorogo wala nini, pili she's focused, tatu kaenda shale na nne hata kama angekuwa hana vyote hivyo she comes across kama mean dada anayejielewa tofauti na wale engine wenye kujipiga mapicha kutwa nzima kwenye Instagram na wale wabishi wa kwenye twitter (wanajijua)
Nashindwa kutype vizuri i'm confused and dazzed.