USSNATHAN JAMES
Member
- Sep 9, 2016
- 18
- 6
[emoji124]Thanx sio geni hili jina nashukuru kunidadavulia!
Upo lakini my babe..!!
Kazuri na ka portable
[emoji57] [emoji57] [emoji57] acha unoko we katoto![emoji124]
Nimekumbuka jina la dawa flani hivi
[emoji1]
Acha hizoNi aje mbona ile avatar bomba umeiondoa!? jicho bi dada jicho bi dada.
Wee ni chizi kabisa,teheteheteheeUtamuogopaje mwanamke wewe...ukishindwa tafuta dawa inaitwa bange ni mwisho wa matatizo yako
Acha hizo
Hahhaaha naona tetemeko halijaishia kagera tu hata moyoni mwako limefikaaahh ngoja nitoke kwenye huu uzi maana moyo unaipiga sana sijiwezi kabisaaa