The love of my life


well said my dia.....muhusika fuata ushauri huu...
 
inawezekana muhusika tamaa za kumuonja huyo rafiki ndo zinakusumbua, yawezekana kabisa ukido nae nafsi yako itaridhika na kujiona shujaa na kidume kwa kumpata mtoto mzuri kama huyo kisha uta realize kama mchumba wako bado ana nafasi kubwa ktk maisha yako.....
 
Jaribu kukaa mbali na huyo msichama mpya kwa muda ili kuona kama feelings zako zitakuwepo bado
 
Thank you Guys for your resourcefull answers- RR, AshaDii, Mathematics, Ma doudou. Naona nikianza kuapply ushauri wa mathematics pamoja na wa RR (time ni silaha muhimu sana kwenye haya maisha), then naaply wa Ma doudou parallel na wa ashaDii naweza jifunza kitu...
 
All I can say is.....huna msimamo! Je, do you remember ni nini kilikufanya ukafall in love na mchumba wako??
Trust me nina msimamo- She was and is a luvly, girl compassionate and with dignity. But this one is much better. Nazungumzia communication, yani mchumba wangu huwa tuna shida kwenye hiyo sehem....anaweza kuja amenuna na ana kisirani hasa na nikabaki namuangalia la kufanya sina! Wakati the new girl is my best friend yani vyovyote atakavyokuja I know how to handle her....I realy enjoy the moments we spend together na anawatreat ndugu zangu far better than my fiancee(I live with my younger sister and brother). Its only fair nikiconsider hizi alama za nyakati kabla sijaendelea kwa sababu i believe mm nikifunga ndoa ndio the one and only! (kama haya yangenitokea kwenye ndoa I am confident kwamba nisingemuacha my wife)
 

GUYS I HAVE MET THE LOVE OF MY LIFE AND UNFORTUNATELY I AM ALREADY COMMITED, sijamsaliti mchumba wangu ila nahitaji ushauri ili ni make this big decision of my life...

Aisee...
 

siku zote communication ni better instruments kaa nae chini umweleze kuwa hupendezwi na hiyo tabia yake ya kununa kuwatreat vibaya nduguzo
 
daa i had the same story lakin yangu tofauti kidogo mm nilipendwa na rafiki mkaka aliekuwa commited lakin mm nilikuwa wa kwanza kukutana nae then tukapotezana na baada ya miaka kadhaa tukakutana by coincidence then tukaanza kuwa marafiki lakin this time akanimbia ameshajicommit kwa msichana mwingine,lakin nilikuwa na misimamo kwa sababu sikutaka kuharibu urafiki wao....Sasa mimi ninachoona kwenye hiyo story yako ni kuwa huyo rafiki uliekutana nae ni selfish sana kwa sababu anajuwa ww una mtu wako bado anakuchomekea anakupenda ili uachane na mchumba wako..kuwa makini sana ndugu yangu wanawakewa mjini ni wajanja sana...atakuja kukugeuka huyo ukija kuachana na mchumba wako kwani wat goes around comes around...
 
Reactions: Kbd

Na mimi ndicho nilichokiona, huyo mdada sio mtu mzuri kabisa. Anafahamu kabisa unamchumba na yeye anajileta leta na kujilengesha kwako sio fair. Halafu inaoneka ulikuwa wazi sana kwake kuliko kawaida na yeye akatumia udhaifu huo kukutega. Huyo mdada nadhani yuko kwako kimikakati zaidi kuliko unavyofikiria.

Siku zote wahenga wanasema........majuto ni mjukuu........hata sijui kwa nini walisema hivyo.
 

Dada, I salute you, umeongea na kudadavua kwa undani wake. Either he takes your advice or leaves it, its upon himself.

Mara nyingi wanadamu huwa tunatawaliwa na tamaa za miili. ninaamini kuwa not all people wanamarry out of love, so by word of mouth huwa tunasema "NAKUPENDA" bila kutambua kuwa all that we need kucement relationship ni compatibility na kukubaliana katika mapungufu yetu. Na tunashindwa kutambua mapema kuwa kila kitu huzoeleka machoni kwa kutazamwa ama kwa muda mrefu au mara kwa mara. Siku zote tutavutiwa na kitu ama jambo jipya maishani mwetu. Hivyo ni vyema kutumia busara kujudge na kung'amua la sivyo utaishia kuwa unapenda kila kilicho kipya. Na NOTE: KIPYA HAKINYEMI..........>by msemaji mmoja hapo juu
 
siku zote communication ni better instruments kaa nae chini umweleze kuwa hupendezwi na hiyo tabia yake ya kununa kuwatreat vibaya nduguzo

The problem here Ma doudou ni kwamba nilikuwa sijui kama naweza kumbembeleza, kumpetipeti, kuongea mda mrefu na mdada mpaka nilipomjua huyu rafiki mpya(never experienced close relationship na mdada). Yani i ddnt know kwamba naweza kurelate na msichana hivyo ss ndo nakuja kuona hii kwa mara ya kwanza and I must admit its the best feeling to experience. Hata waliooa watasema yani its so nice kuelewana na hun wako kiundani kabisa...I've always vowed to keep my promises lakini hapa nimeshikwa pabaya!
 

Sasa kitu gani kilikuzuia kufanya hivyo vyote kwa mchumba wako no. 1??
 
Sasa kitu gani kilikuzuia kufanya hivyo vyote kwa mchumba wako no. 1??

Honestly I dont know! Tumefanya things kwa kiasi chake lakini mi mambo mengine nawaona watu wanafanya bila aibu(si mambo mabaya) kama kupita njiani mmeshikana mikono, staying somewhere toking just the two of you...nikawa nasema not my thing ila sasa nimexperience practically
 

Wengi wamejikuta ndowa zao hazidumu kwa kutaka kutekeleza ahadi wakati roho zao zimeshapenda kengine. Maadam hujaowa owa yule unaempenda kwa wakati huu ili ukiingia kwenye pingu hutosema kuwa kulikuwa na fulani nilimpenda zaidi!
 
Nina mfano wa mtu aliyesema kama usemavyo 'love of ..' na kumuacha mke wake kumbe huyo 'love' ni mwathirika. Jamaa kanunua shida kubwa sasa. Hebu wapime wote kama utaweza halafu amua.
 

duh petcash umenikumbusha what happened back then.......any way what i can see here is that huyo bestfrnd wako is selfish as it has been said. cause toka mwanzo alijua upo committed but bado akaongeza ukaribu na wewe. and it seems there is no gud communication kati yako na huyo uliyekuwa committed kwake coz otherwise usingekua karibu na huyo mpya. just be carefull, take your time and allow yourself to make the right decision because if you make a mistake now and marry the wrong one it will cost you all ure life. mshirikishe MUNGU pia naamini atakuongoza sehemu sahihi.
 
Usiogope kumwumiza huyo mchumba kwa kumwacha sasa kama humpendi tena. utamwumiza zaidi ukimwoa kama wajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…