The magic bar kahama mmenikosha Leo Safi sana

We jamaa ni mpumbavu kiwango cha lami
Jana umepost upo songea unatukana walimu

Leo asubuh umepost upo Moshi mbio za kilimarathon

Leo jion umepost upo kahama

Shenz kabsaaa
Unamfuatilia kiasi hicho mkuu?
 
Wapi nimesema nipo moshi? Lofa we tahila mbwa wewe hujui Samia Leo yupo burundi by saa mbili yupo dar, songea to kahama ni kugusa tu Kwa Sasa
Katika sehemu ambazo ratiba zake za ndege hazi connect kirahisi ni huko songea
Labda uwe unatumia ndege za kukodi , lakini hakuna namna unaweza fika khama same day kutoka songea kwa atcl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…