Documentary nzuri sana!First class and well narrated! Sijui kama bongo tuna uwezo wa kutengeneza kitu kama hichi. Hii imenifundisha mengi na kuniacha na maswali kibao!
Moja wapo ni hili: Tz ingekuwa vipi kama Nyerere angekufa mapema kama Kenyatta? Hope u enjoy this as i did!
katika kuunda constitution ni lazima upate ushauri wa experts. Sasa wewe unataka waiunde kwa namna gani? As long as wabunge wana input...hiyo safi. Maana wabunge ndo sauti ya wananchi!!