HahahahahahahahWatu wasiojulikana wameshadukua tena akaunti ya Mshana jr!![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mara nyingi waganga hupata mademu wazuri,maana ndio wateja wao
Kwann binamuuuuuIla roho inauma.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kifupi wewe jamaa una wivu sana sana sana, jaribu kuficha wivu wako wakati mwingine uzi wa forex ulimtukana na kimponda sana Ontario juzi ukaweka kinuyuzi chako eti biashara za awamu hii nenda kacheze na walevi peke yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona majini yanaoana.
Huyo Demis mchukue tu, alikosa soko humu,
@mshana jr yaonyesha kaniwahi....Kwann binamuuuuu
I love you 2Funika bovu [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji323] [emoji322] [emoji173] [emoji173] View attachment 710374
Hahah taratbu usije kanyaga hirizi na skonko ukaipasua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na zile skonko atanitambua huyu shemej yako mwendo wa maringoooo
Nadhani ni mioyo tu imevutana[emoji23]Acha tu nipo tayar
Eti na ww unaamini mshana kanipulizia kibuyuuu na tunguli?
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Naona huku n fire tu
Oooh poleeee binadamu hayo mambo ya kawaidaaaa@mshana jr yaonyesha kaniwahi....
Haya.....Oooh poleeee binadamu hayo mambo ya kawaidaaaa
Asanteeee sana mm siamin kabisa kama tunguli zimetumikaaaNadhani ni mioyo tu imevutana[emoji23]
Kweli chelewa chelewa[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ndoa changa mshaanza kuniharibia nitaondoka na mtu
hhhhhhh lazima mapenzi yashinde uganga mwisho wa lineSoon mrs jr anaanza kupanga panga tunguli ghetoni kwa Jr
Hivi itakuwa katumia tunguli au ni upendooo tu?Kweli chelewa chelewa
Unapata mwana c wako
Yan mzee wa tungur kashaniwah
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Aise