The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Jirani yako Jolie Jolie toka lini wewe?

Mwifwa naye namshangaaa kuna mwanamke anampenda alafu yeye sijui anampenda nan? Hebu muulize basi utanichombeza piem
Nilikuambia unisogezee ID yake huku PM, tena ulisema ni ya mdogo wako lakini hujaniambia, wengine nilikuambia nimetoka patupu
 
Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache na mimi hilo wazo la kukuacha sina.

Tupendane kama pete ya ndoa na kidolee.
 
Mm mwenyewe yan ndo nilikaa tayar kunywa chai nashangaaa umepepea jaman looh kwan huko mwishon nn kilitokea maana mm nilikuwa nyumaaa
Hakijatokea chochote ni vile vile mara paap uzi umefutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…