The man who takes my breath away


Karucee, sio mchezo....ila mzee si anachelewa kurudi toka kazini? Anajua hizi issue zinaendeleaje?
 
Last edited by a moderator:
hahaha Good good
Huyu atakuwa liafande aking'arisha boot na kuchomekea mkanda nje kisha kupulizia perfume yake ya Diesel au Boss
kwisha habari yako
 
Teh hee heeeeeeee. Musinichekeshe. Kwa kifupi hongera kwa wanaume watanashati.
 
Jamani huyooo mkakaa......chezeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..

kama yupo JF aniPM..
 
Karucee , ile loneliness ya Mbezi nyumbani kwa mfanyabiashara busy imekwisha? Angalia usijekuwa unaanza kukaribisha maisha ya cheating!
 

Karucee.mbona nionavyo siku hizi haya masifa hayana soko........kisa wadada wanataka chapaa mengineyo watajaza mbele ya safari...............................
 
Last edited by a moderator:
hahaha Good good
Huyu atakuwa liafande aking'arisha boot na kuchomekea mkanda nje kisha kupulizia perfume yake ya Diesel au Boss
kwisha habari yako

FirstLady1.....why are you so negative could be a handsome boy around your neighborhood..........
 
Last edited by a moderator:
na wewe unamfanyiaje coz it seem like it's all about you
Mwali is it about her or about them.................???????????????????? or at least about her.....how she reacts in front of those gorgeous men.......who are keeping themselves smart.......................................lolllllllllllllll
 
Last edited by a moderator:

Haya yote tisa Karucee, kumi mwanaume kitandani na mfukoni bana... au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…