The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyo bukayokooo Saka Leo alikuwa anafanyiwa ukatiri mkubwa na ake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nishasema arsenal ni wachumba tu ,tutawafanya tulichowafanya Chelsea ,......

Gonja nje ndani ,fa ,PL .....
 
Game kama hizi za arsenyo ni kutumia akili tu ,maana wanakujaga na matokeo yao akilin ....

Zin ,martnel , ordegard wanaingia Kwa mbwebwe utafikili wao ndio wanaenda kuamua matokeo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sub ya Mahrez imeleta uhai , Alvarez aliongeza pressing kule mbele ....

Arsenal walikuja na tactic ya kukabia juu ,ortega kampigia mipira mingi Sana haaland ya juu .....


Winger zote Leo zilipotea ,Mahrez , grealish ,tulitegemea midfielders kufanya mashambulizi Nako ilikuwa ngumu ...

Hawa arsenal ni akili tu inatakiwa kutumika ...

Sijui kwanin pep huwa anaamua kumuacha Rico wakati trossard alikuwa anamsumbua ,,walker alitakiwa kuaanza mapema ,ubora wa Ortega umesaidia la sivyo trossard alikuwa kashatufunga ...

Game ilikuwa ngumu Kwan arteta anamjua Sana pep ,ndio maana walikabia Sana juu arsenal ....

Ake is the special one ...

Larpote awe anaanza aisee ,stone anakabia macho ,shots 2 on target za trossard zilitokea kwake .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…