Goli la rodri Hilo anadribble mpira kwenda golin Bado anatoa pass ya kijinga ,Harry Kane anachukua ,angemchezea rafu ingekuwa penalty paleeakanji ni utopolo kabisa
Nipo pale 😂😂😂😂Tulieni hii game tunawin
Impact ya Alvarez mnaiona kweli?Kuna haja ya kumuingiza kdb, Bernardo ni kama bado hajasoma movements za haaland