Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Iyo ni 5-4-1 ngumu mno kuchomoka jana Everton walituwekea hiiHii low block ya spurs imetushinda kuifungua kabisa.
Where is your robot [emoji880]Cancelo huko katoa assit....
Natumai huko uliko umejinyeaAngalia usije ukajikojolea.
UCL mnabeba mkuuThis season is trophless guys , PL hatuiwezi ,hata kama tungekuwa pekee yetu Kwa hii timu tusingeweza kuchukua epl ...
Kwa hio formation ya 442 ,...hovyo kabisa ,hakuna hata movement Moja ya hatari kwenda mbele...
Kuna FA inaweza tutoa kimasomaso.This season is trophless guys , PL hatuiwezi ,hata kama tungekuwa pekee yetu Kwa hii timu tusingeweza kuchukua epl ...
Kwa hio formation ya 442 ,...hovyo kabisa ,hakuna hata movement Moja ya hatari kwenda mbele...
Pep Guardiola at the Tottenham Hotspur Stadium:Kuna FA inaweza tutoa kimasomaso.
Same game ,the same mistakes....Hii game tulikuwa tumeanza vizuri sana, bila rodri kutuuza nilikuwa siioni nafasi ya spurs. Rodri kaiongezea game ugumu.
Kaka mbona imeuma sana hii [emoji23][emoji23][emoji23]Huwa tunapigwa na spurs kijingajinga tu...Hivi Rodri Pasi gani ile amepiga?, alikuwa anawaza nini?
Kacheze wewe uilainishe kama ni ngumuHii game tulikuwa tumeanza vizuri sana, bila rodri kutuuza nilikuwa siioni nafasi ya spurs. Rodri kaiongezea game ugumu.
Silva amechuja sana msimu huu, ana shida gani?Pep hajifunzi tu ....
Unajua hata tukikutana na spurs uefa tunaweza tolewa mapema kabisa [emoji3]...
Yaani mim sijawahi mwelewa pep kila akienda uwanja mpya wa spurs ....cheki kama line up ya Leo ....
Lewis & walker combination ya hovyo ...
Alvarez & haaland then hauna creative midifilder kama gundo na kdb ni ujinga mtupu ....
Sasa alitegemea haaland na Alvarez kina grealish na Mahrez ndio wampe mpira ? ...
Bernado silva hawez kabisa kipiga hata long ball ....