Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Walianza uefa kutaka kutushushia rungu wakakosa ushahidi wakatulia Sasa ni PL ......BREAKING! Manchester City have been charged by the Premier League with numerous alleged breaches of financial rules.
Sijui kama mtatoka salama hapaWalianza uefa kutaka kutushushia rungu wakakosa ushahidi wakatulia Sasa ni PL ......
Hao Hao wanasheria waliotudefend kwenye uefa ,naamin watafanya kazi hio hio kwenye PL ....Sijui kama mtatoka salama hapa
Ngoja tuone itakuwajeHao Hao wanasheria waliotudefend kwenye uefa ,naamin watafanya kazi hio hio kwenye PL ....
Team huwa zinasoma word by word ffp rules kabla hazijaspend ,Mimi naamni hakuna kitu watafanikiwa hapo ....hata chelsea hawatakuja kumpata ,,Kuna loophole kwenye FFP lawyers wanatumia kupenyeza matumiz extra na hawawezi kuwapata ....
Na Bado😂Dunia inaenda kasi sana, city saivi hata kushinda mechi 3 mfululizo ni mgogoro.
Mchawi huyu hapa.Mihimili yetu kwenye mid field imeanza kuyumba.
Umri nao unasogea.
Energy inapungua.
Kwaio wale wa juve hawajui kusoma word by wordHao Hao wanasheria waliotudefend kwenye uefa ,naamin watafanya kazi hio hio kwenye PL ....
Team huwa zinasoma word by word ffp rules kabla hazijaspend ,Mimi naamni hakuna kitu watafanikiwa hapo ....hata chelsea hawatakuja kumpata ,,Kuna loophole kwenye FFP lawyers wanatumia kupenyeza matumiz extra na hawawezi kuwapata ....
Kuna ndugu yako alisema mtakuja na 12+ Win strikeDunia inaenda kasi sana, city saivi hata kushinda mechi 3 mfululizo ni mgogoro.
Safar hii tumeyakanyaga,hata hilo kombe bas tena,tujipange nxt seasonManchester City have been charged by the Premier League for allegedly breaking numerous financial rules between 2009 and 2018
A "range of sanctions"—including points deductions or even expulsion from the league—are possible if the charges are proved, per The Times
Wanafanya kila namna man city asichukue epl ,vikwazo vingi pep awaachie tu hio PL maana naona inategengeneza haters wengi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Safar hii tumeyakanyaga,hata hilo kombe bas tena,tujipange nxt season
Hizo ni propaganda tu kama walivozusha uefa ,tukataka kupigwa ban ,hazina ushahidi wowote ,hata PL wanasema kama wakiprove means hawajawa na ushahidi kamili .....Kwaio wale wa juve hawajui kusoma word by word