The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jumapili Villa wazee tutatoka?

Maana nahisi saivi morali ya wachezaji inaweza kuwa chini mno.
 
Jumapili Villa wazee tutatoka?

Maana nahisi saivi morali ya wachezaji inaweza kuwa chini mno.
Ukiacha spurs hakuna timu inayotusumbua kama Aston villa ....

Sijajua hata wachezaji ki psychology wakovip ...

Hizi habari walizotoa PL lazima zinaenda kuwaathiri wachezaji wetu morali ya kujituma ,pep anakazi kubwa Sana ya kuwahamasisha wachezaji ,hata yeye mwenyewe hayupo sawa .....


Hii game kusema kweli tusitegemee point 3 kabisa ....

Mim nitaangalia game Kwa kutazama body language ya wachezaji ,wala sio kuhitaji point tatu ,hata tukipoteza binafisi sitalaumu mtu ....najua hali waliyonayo wachezaji na staff nzima ....

Cha mhimu tu ni kuwa mpaka hapo arsenal washindwe wenyewe kuchukya PL ,washatutoa kwenye reli...

Mpira sio mazoezi tu mpira ni psychology...
 
Hawa wajinga PL washatuharibu psychologically,nimeangalia hata mazoezi wachezaji Hawana morali ,wala furaha kabisa ....

Mbaya zaidi hata pep mwenyewe hana amani ,unaona kabisa boby language yake inamasononeko ...

Kuanzia next game onward tusitegemee form yoyote Kali kwenye team yetu ,.....!!
 
[emoji3447] Pep Guardiola: "I am NOT moving from this seat. I can assure you more than ever that I want to stay. More than ever!" [emoji3479]

[emoji170] We are Man City!
 
Full Pep Team Press Conference:

Pep Guardiola: "My first thought is that we have already been condemned."

"What has happened in these weeks after Monday is what happened with UEFA."

"We had accusations and now we are charged. The club proved we were completely innocent [with UEFA]."

"Personally, I am happy we are here. Like with UEFA, we have the chance to defend. We have good lawyers, but I cannot say that UEFA had bad lawyers."

"Time will dictate what is going to happen. But just incase we are not innocent, we will accept what the judge and the #PL decide."

"If what happened with UEFA we are innocent, then what happens to restore our payback, our damages..."

Pep Guardiola has once again listed every single #PL club that tried (and failed) to get #ManCity banned from the #UCL.

"We will go to the low division, no problem. We have been there before. We will call back Paul Dickov, Mike Summerbee and make a good process."

"It is not an unprecedented story. It is the second time of this story."

"I'm fully convinced that we will be innocent, and then what will happen next?"

"I'm delighted with the team. I know how they are training lately. Normally we didn't give up, in the previous seasons, in the toughest moments, we had the feeling that we are going to do it."

"I'm fully convinced that we will be innocent, and then what will happen next? Since Abu Dhabi took over the club, since day one it's been like that."

Pep Guardiola on why other #PL clubs might be out to get #ManCity: "We are not part of the establishment in this league..."

"In this country, everyone is innocent until proven guilty. This didn't happen [with #ManCity]."
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "We will go to the low division, no problem. We have been there before. We will call back Paul Dickov, Mike Summerbee and make a good process.."
 
Huu uzi bado haujafutwa tu. Admin mnasubiri hadi timu hii itupwe league two
 
Wakitutoa epl ,siwezi poteza muda kuangalia utopolo wa sijui arsenal ,man UTD ,Chelsea nashuka nayoo huko hukoo [emoji3][emoji3]...

PL wenyewe watakuwa wamepoteza fan base itakuwa sawa na Seria a...
Unachekesha kweli Mzee[emoji1787][emoji1787]....city hawana hyo impact unayotaka kutuaminisha premier League itaendelea kuwepo kama kawa
 
Unachekesha kweli Mzee[emoji1787][emoji1787]....city hawana hyo impact unayotaka kutuaminisha premier League itaendelea kuwepo kama kawa
Nimesema mim .......

Kina league kibao za kushabikia sio epl tu [emoji3][emoji3][emoji3]...

Matimu kibao wakisema wayafuatilie kuanzia 2009 ,Chelsea ,united , Liverpool,hata spurs yana rushwa kibao tu nyuma yao ila wanakomAa na city tu pumbavu ...
 
The real arsenal is back ....



Wawashukuru PL kutuharibu psychologically,hii league tungebeba[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…